Sababu ni nini kubamdua kalatasi kwenye bia?

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
waigizaji wengi hasa movie za kitanzania au maigizo ya luningani ama celebrities..wanaposhut acene wapo bar wanakunywa bia ni lazima wabandue ile karatasi kwenye chupa ya bia yenye brand name..kwanini?
hasa kwa zamani na kwa hizi chupa za safari au kilimajaro..serengeti kabla hawajabadilisha muonekano wa chupa zao!

sababu ni nini?
 
Kumbe unaangaliaga bongo movie?? Jumapili njoo Bunju unisimulie.
 
we unadhani kumtangazia mtu biashara kirahisi tu haikeri .
mi nimepewa mishati 10 imeandikwa shuga sitaki hata kuvaa wala kuwapa vijana wangu siwezi kupiga kampeni bure tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…