Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kabisa, a good dancer know the time to leave the stage, wao wamechelewa na hakuna ubunifuNothing last longer.
#MaendeleoHayanaChama
Wanajaza kwa hasara matamasha mengi nayoona yanatagazwa viingilio ni elfu tano mpaka bureNimeiona mikoani watu waliingia wengi Singida.
Hili nalo inaweza kuwa sababu Wenzetu wanaigeria walishafanya mabadiliko kitambo walishaachana na playback mfano burnaboy nazipenda show zake anatumia vyombo vyote kuimba Hadi ngoma za asili jamaa anapandaMsanii anaimba imba playback alaf mda. Wote anawaambia mnyanyue mikono juu , mara peleka kushoto , kulia , alaf anawaonyeshea mik nyie ndo muimbe , cha kushangaza na wao wanataka walipwe pesa ndefu kama wasanii wa Marekani ..... Kwa style hyo lazima matamasha yafe tuu
Ni ngumu kusikiliza mziki bar, labda uende grocery za ndichi utajichagulia hata wimbo.Last weekend niliingia night club moja ambayo ilikua ikiniburudisha sanaa enzi hizo nikasema ngoja nikumbukie leo.
Daah nikakuta eti mziki unapigwa na kuna jamaa pembeni na dj anapiga drums kupandia ule mziki.
nikajiuliza nini hiki?
makelele tena sio mziki ule, nikahisi labda kwakua nimeshaanza kuzeeka, nikatoka zangu nikarudi home kulala.