Sababu ni nini?

Kafuta

Senior Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
119
Reaction score
29
Wana Jf naomba kufahamu kwa nini wajawazito wengi kwa sasa wakienda kujifungua wanaishia kufanyiwa upasuaji?cjui kama ntakua nimeweka swali sawasawa..lakin naamin ntakua nimeeleweka..
 
wanaofanyiwa upasuaji ni wale ambao njia ya kawaida ya kupitishia mtoto inakuwa ndogo wakati wa kuzaa,.

Labda uulize kwa nini au nini kinapelekea njia kuwa ndogo!!
 
watoto wa siku hizi wanakuwa wanene toka wakiwa tumboni, pia wamama wengi wanahofia nyuchi zao kutanuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…