Elections 2010 Sababu Nyingine ya Kutoichagua CCM

1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake
2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi
3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya
mwaka mmoja tangu aingie madarakai...ni
4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa
watu wake unatokana na nini.
5. Rais wa kwanza duniani kuchakachuliwa mafuta kwenye gari yake
ikazima barabarani
6. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha bora!
7. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu)
8. Rais wa kwanza aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
kiherehere chao....
9. Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.
10.Rais wa kwanza duniani aliyetumia mabango yote ya biashara nchini
kwake kujinadi wakati wa kampeni mpaka picha za kampeni
 
Sawa ila sababu ya No. 2 siyo je angekuwa BABA YAKO? hiyo ni hali ya ugonjwa tu! Mbona Yule aliyekuwa Rais wa Russia kipindi kile alikuwa mgojwa tena kitandani lakini hakuondolewa na alikuwa anabadili mawaziri mkuu kama anavyotaka,
 
Nimekutana na huu ujumbe kwenye e-mail......

 
Hii nondo iko safi sana lakini tatizo ni kwamba imeandikwa kwa kikoloni. Imani yangu ni kuwa zaidi ya asilimia 75 ya wale wanaojua kikoloni hawaitaki na hawataipigia CCM,,,,,, kasheshe liko kwa babu, bibi, baba, mama, na baadhi ya kaka na dada zetu wa huko Tanganyika ambako gazeti linalopatikana huko ni lile la kutoka china la kufungia chumvi kibandani kwa mangi...
 

problem kubwa hapo kwenye red

i woudl just put this message to my recycled bin
 
problem kubwa hapo kwenye red
i woudl just put this message to my recycled bin
Kwa mbali naona mkono wa CUF hapa - sijui lengo lao hasa ni nini. Anyway kwa taarifa ya CUF, Chadema sidhani kama wana mpango, nia wala sababu ya kuwakumbatia mafisadi wa CCM katika serikali yake kama watashinda - mpango huo wanao CUF tu. Pili nawaomba CU wasijaribu kumhusisha mpiganaji wa wazalendo, Dr. Slaa katika mpango wowote ule wa kushirikiana na genge la wezi lililoitafuna taifa kwa miaka hamsini, Chama cha Mafisadi.
 
umesema kweli maana kipindi hiki hata papaaa msofe ana upeo wa siasa

kila kitu ni kuchakachua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…