Kwa wale ambao wameamua kunishambulia binafsi badala ya kujibu hoja, inathibitisha kutumika kwa hisia kuliko tafakuri katika kufikia maamuzi... hakuna la kuwajibu. Kwa wale wenye uwezo wa kujadili hoja hata kama hawakubaliani nayo:
Njilembera: Dk. Slaa ana tofauti ipi na Kikwete -- kwenye suala la EAC? Kwa nini nimpigie kura Dk Slaa wakati na yeye 'anagwaya' kuwa na msimamo unaostahili -- kuiondoa Tanzania toka EAC?
Wiselady: hiyo ndio sababu tatu
Maluo: kwamba EAC ndio njia pekee ya kuonyesha tupo kwenye utandawazi is a nauseating argument tafuteni nyingine. Twatoka EAC, tunabaki SADC.
Mwanamayu: Exactly my point. Miaka hiyo kumi Dk Slaa ni mbunge, na CHADEMA ni chama 'cha upinzani'. Nini wamefanya kuzuia Tanzania isiwemo kwenye EAC kwa hiyo miaka yote kumi? Nini sasa tofauti ya Slaa / CHADEMA ukilinganisha na Kikwete / CCM?
Mlenge