Sababu ya Biashara yako kufa au kutofanikiwa. (Elezea tujifunze)

Time Traveller

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
314
Reaction score
303
Habari ya muda huu wanajamvi.
Siku zote tumekuwa tukisikia story za mafanikio katika biashara Fulani bila kusikia changamoto au ugumu wa biashara hiyo hali inayopelekea wengi kushindwa.

Tutiririke makosa tuliyofanya hadi biashara kufa ili wajifunze wengi wanaoanza.
 
Kwanza yako ww iwe ya kufanikiwa au kuto fanikiwa. Hapo kwanza
 
Nilifanya biashara kadhaa zikafa, sababu ni nyingi sana zilinifanya biashara zangu kufa ila kuna hizi za umuhimu

1. Faida ya biashara kutokukidhi basic needs zangu, so kuna muda unalazimika kula sehem ya mtaji

2. Kutokufanya research yakutosha ya biashara husika

3. Spend more save less

invest what you are willing to lose
 
Uvivu! Yani Mtu hayuko tayari kupata shuruba zitakazo mpelekea badae kupata faida yaani kulia kivulini! 2. Kugombana na wateja, werevu hawagombani na wateja, mteja ni Mfalme ! Tajiri hanuniwi! 3. Ukosefu wa maarifa na Kutunza kumbukumbu , wachuuzi wengi wanafanya uchuuzi bila kujua anapata faida Au hasara ili ajue aboreshe zaidi Au la badala Yake kuja kuahamaki amefilisika! 4. Nidhamu na uaminifu ktk Biashara etc
 

Kuanzisha biashara mpya na kuitegemea ndio ikuendeshee maisha yako, Matibabu, shule, kodi nk
 
Chuma ulete ....kama unabisha we bisha tu sababu ya asili yako ya ubishi ila chuma ulete kikwazo cha Biashara nyingi, hata TRA wanalijua Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…