Sababu ya Kiba asiwe na mabodigadi kama wasanii maarufu

Siyo kweli...

Kuna msemo unaosema mswahili akipata matako hulia mbwata...

Hao unaowataja wanaenda na bodyguards mpaka kwenye maBank, chooni, kwenye halfa ambazo hata hazihitaji bodyguards, huo ni ushamba...

Cc: mahondaw
 
H
 
Wakati fulani kwenye utoaji wa tuzo za Kilimanjaro awards, Ali Kiba hakupata tuzo hata moja. Baadae wanakuja kumuhoji , jamaa anakwambia "Mimi sitaki tuzo"
 
Wakati fulani kwenye utoaji wa tuzo za Kilimanjaro awards, Ali Kiba hakupata tuzo hata moja. Baadae wanakuja kumuhoji , jamaa anakwambia "Mimi sitaki tuzo"
La saba D
 
Mungu humlinda anaye jishughulisha sasa wewe subiri mashabiki wakufinye siku moja ndo utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…