Sababu ya kifo cha Steven Kibona na Gilman Rutihinda

Status
Not open for further replies.
zama zile kulitokea vifo katika mazingira ya ajabu ajabu sana na hofu ya sumu iuayo taratibu ilikuwa dhahiri. Nani anamkumbuka Stan Katabalo. mwandishi mahiri wa gazeti la 'Mfanyakazi' aliyelisimamia kidete suala la Loliondo....nae alikufa kimya kimya...kama Kibona na Rutihinda! Upinzani utakapochukua nchi ni baadhi ya vifo ambavyo itabidi vipelelezwe kuujua ukweli. na Horrace Kolimba alikufaje?
 
Haya, hii ni mifumo yetu ya kiafrika inayoruhusu kupanga uongo na sababu ambazo si za kweli.
Wataalamu wa hospitali ( madaktari) nao ni mojawapo ya watu wanaosababisha mambo haya ya uvumi. Hawafanyi uchunguzi wa kutosha juu ya magonjwa na sababu iliyofanya huyo mtu afe. Hakuna ripoti ya kweli inayotolewa kwa ndugu na jamaa juu ya ugonjwa au tatizo lililosababisha kifo chake. Hawatoi ripoti kwa ukamilifu. Wataeleza magonjwa mengine ambayo yametokea baada ya.

Hapo ndio rumours zinaanza kutawala. Watu maarufu walitakiwa watolewe ripoti za vifo za wazi zaidi na wananchi wafahamu kiini cha vifo vyao kinyume na hivyo minong'ono itatawala.

Katika maisha ya mwanadamu, hakuna binadamu asiye onewa wivu, kuchukiwa, kutofautiana misimamo iwe ni wana ukoo, wafanyakazi wenzake, wakubwa wake wa kzai na pengine jamii inayomzunguka. Katika mazingira haya ni rahisi kutafuta sababu yoyote ile ya sababu ya kifo chake.

Tutashinda upuuzi kwa kuwa watu wenye uwazi na ukweli. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
 
Tuache marehemu wapumzike kwa amani,mnawaongezea wafiwa machungu ambayo wameanza kusahau.
 
Ipo siku every secrete will be revealed. I hope I will live to see that day

Kwa Bongo njaa ni kali mno, kila mtu anafukuzia mlo wa siku hivyo hakuna anayeweza kujishughulisha na mambo ya wafu hao. Mchonga mwenyewe kutokana na mlolongo wa tabia za viongozi wetu, kuna wasiwasi huenda walimfanyizia sayansi ya kiintelijensia ili asije akaweka zengwe jingine jamaa asiingie magogoni kwenda kuiba. Walipofanikiwa tu, sarakasi za wizi wa rasilimali za Taifa mpaka leo zimeshika kasi ya ajabu.
 
Mke wake Gilman Rutihinda anadunda... sidhani kama G.R. alikufa kwa ukimwi...
 
acha uongo usiokua na maana huo.Kama walikua na ngoma iweje wafe pamoja na baadae kidogo wachape hela kama wazimbabwe?kama hujui ukweli kuchangia si razima.R.I.P wazalendo wa ukweli

jamaa sio muongo ila analofahamu ni la upande mmoja,ni kweli ugonjwa unawamaliza sana BOT na HAZINA,hilo la kuchapishwa noti nyingine yeye halijui isipokuwa yote yanawezekana.
 

kwa hiyo we ndo mkweli sana au vp? Hata kama watu wanasema uongo hutakiwi kukasirika namna hiyo. Grow some balls.
 

Kuna tija gani kujadili mambo yaliyotokea miogno miwili leo?
 
Kweli kifo ni kifo tu, lkn kuna vya kutilia mashaka vikiwemo hivi vya hawa!
 
Chimo,'
Nakuomba uache uongo. Mke wa marehemu Rutihinda ameolewa na anadunda mzima kabisa mjini Nairobi.

Mama Kibona ameishi mzima wa afya pale Mikocheni mpaka amestaafu acheni kuchonga!!
 
Katabalo yule wa issue ya Loliondo

Jaji Mwakasendo

Prof Mwaikusa

Prof Malima
 

Jamani mbona Rutihinda alikufa kwa ajali ya gari? Nyie mnaishi wapi? Si gari lake liligonga Ubalozi wa Burundi pale Upanga! Nyie vp
 
mzee mwinyi, mrema na malecela ni are serious assasins
 
MAKOSHNELI,

Waislamu tuna Profesa Kighoma Ali Malima mtu wa karibu wa raisi mstaafu;Mwinyi.Tunaamini aliuliwa na mfumo kristo baada ya kubainisha ubaguzi wa elimu katika wizara ya elimu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…