Sababu ya kuendelea kuwa na rafiki huyu wa kike imepotea kabisa

Respect umeona nlicho kiona kaka,sababu aloitaja mwana haina mashiko kabisa.
 
Wacha kujitetea mlamu, huyo demu kama ni rafiki yako ujue ashakuona unafaa wapi na hufai wapi.

Una haki ya kukasirika kama hutaki kuukubali ukweli.
 
Hapa wenye akili kubwa ndo wataelewa kuwa ujumbe wako haujabeba hisia moja tu,hata suala la bint kukataa muingie kwenye mahusiano imekuwa sababu kubwa zaidi ya kukufanya uwe na hasira nae na kutaka ushkaji ufike tamati,,,,na log off.

Ni kwamba demu ashajua hili ni boga tu, halifai kuwa mpenzi wala halifai kwenye mchongo... ni basi tu walisoma wote!
 
Mkuu sijaona sababu ya msingi ya ww ku complain sana Sana na naona una dalili flan za ulaini....stay strong bro

One love
Ni mtazamo, but am physically and spiritually fit.
 
Hamna hata simchukii hata, sema nilimpa cheo kikubwa sna, now nataka nimchukulie tu kama wasichna wengine.
 
Hapa wenye akili kubwa ndo wataelewa kuwa ujumbe wako haujabeba hisia moja tu,hata suala la bint kukataa muingie kwenye mahusiano imekuwa sababu kubwa zaidi ya kukufanya uwe na hasira nae na kutaka ushkaji ufike tamati,,,,na log off.
Mkuu mambo ya mahusiano nisha potezea.
 
uyo dawa yake muite geto umkule mzigo alafu utaleta mrejesho hapa
 
Siku zote unapokua na nia ya dhati(kimahusiano ya mke na mme) kwa rafiki yako wa kike, Hakikisha{narudia tena (HAKIKISHA)}; hiyo inabaki Ni Siri yako hadi hapo muda utakaposema.
.
.
Why!
Kwasababu wengi wao wapo kinyume na wayatakayo hasa pale wanapooneshwa waziwazi matamanio yao.
.
.
Don't invest on them in either way
 
Either way!

Umesema mliishi wote kitaa kimoja tangu sekondari, itoshe tu kusema anakujua vizuri... acha kulialia!
Hahaaa ni vigezo gani unatumia kumpamba huyo manzi na kuniona kama mim ndie mwenye madhaifu?
 
Same story imenitokea jana. Ninae rafiki yangu wa kike.. nampenda saana. Yeye tunatoka nae mji mmoja huko mkoani, tupo dar kila mtu anapambania maisha yake.

Tumekua tunasaidiana saana. Ushauri, story, mambo ya familia n.k. lkn ana vitabia vyake ambavyo mimi huwa simuelewi. Nmemvumilia sana ila jana nkamchana na tukakosana.

Tabia yenyewe ni kwamba, akikutana na marafiki wengine wa huko home mkoani tunaojuana na mimi labda wakianza story kunihusu mimi (labda negative story) kwa yeye jinsi tulivoshibana huwa nategemea yeye ndo aje aniambie, kwamba kuna hili na hili natuhumiwa.

Badala yake yeye huja na kusema story zako zote ninazo... au husema nmepata habari zako nmeshangaa saana... sikutegemea. Halafu hanambii habar yenyewe... au ananiambia juu juu... nikiuliza anasema ngoja niishie apa,au ngoja nifunge mdomo mie..

Kinachomfanya asinambie ni kisa haniamini. Anahisi me ntaenda uliza kwa wale wenzie, au ntaenda leta noma kiasi niwakosanishe. Hicho ndo huniuma mimi.. kwamba yeye anashindwa kuniamini mm?? Nini maana ya kuwa rafiki yangu had anaona mimi naweza mkosanisha na wenzake.

Jana nmezinguana nae nkasema bora nikae bila rafiki, kulko rafiki mnafiki..tunajifanya tumeshibana, kumbe akinipa kisogo ananisema, na hanishirikishi.. gademit
 
Kama sio fomu 2 huyu basi atakua fomu 3... shika sana elimu kijana, usimuache aende zake..
 
Kama sio fomu 2 huyu basi atakua fomu 3... shika sana elimu kijana, usimuache aende zake..
Hahaaaaa, urafiki na msichana ni jambo la kitoto sana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…