Sababu ya kuita wanawake wazee "wachawi" Vigagula.

Sababu ya kuita wanawake wazee "wachawi" Vigagula.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Mwaka 1885 mwandishi H. Rider. Haggard aliandika kitabu King Solomon's Mines. Ndani ya kitabu hicho kuna kibibi kizee mmoja mwenye hila na katili sana. Jina lake Gagool.

Mwaka 1966 kitabu hicho kikatafsiriwa kwa kiswahili kikiitwa Mashimo ya Mfalme Sulemani. Jina Gagool likatafsiriwa kama Gagula.

Huo ndiyo mwanzo wa wanawake wazee "wachawi" kuanza kuitwa Vigagula.

Gagool.

KSM-RF-10.gif
 
Back
Top Bottom