Sababu ya kusema neno ‘Hellow’ kwenye simu kabla ya maongezi

Hiyo mirangi ktk maandishi waachie watoto wa kike watu wengine umuri umeenda zinatusumbua macho.
Mimi hulitumia kwa nadra sana, sijazoea
 
Hiyo mirangi ktk maandishi waachie watoto wa kike watu wengine umuri umeenda zinatusumbua macho.
Mimi hulitumia kwa nadra sana, sijazoea
Sawa mkuu kwa Niaba ya watoto wa kike ngoja niziache.
Asante
 
Mkuu hiyo tigo nyeupe ni jina la mtu ama ni tigo kama tigo?
 
Sio kweli huo ni uzushi wa internet mkwe wa Bell aliitwa MABEL GARDINER HUBBARD
 
Dah!
Kumbe hadi mdingi wangu huwa namuita jina la demu wa mshikaji [emoji23][emoji23]
 
Wakati anaanzisha hello Mimi sikuwepo
Naomba arudie nimnyooshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…