mtu yeyote anaetegemea kuwa na mtu mwenye hela ni "papasi"
yaani hayuko tayari kuanzisha msingi wa kuzitafuta bali ale jasho la mtu!!
Mmmh....ashakum hakuchagulii tusi. Wanaume wa jf tumepokea matusi yako kwa mikono miwiliunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
mimi ni mzee, mimi ni baba yako kabisa unapaswa kuniamkia, maana naelekea miaka hamsini!unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
mimi ni mzee, mimi ni baba yako kabisa unapaswa kuniamkia, maana naelekea miaka hamsini!
.com imetokea juzi naiona.
zamani wanawake waliridhika na mtu mwenye msimamo, asiyeyumbishwa! siyo mwwnye hela!
halafu mwanamke hata kama hakusoma, akiingi katika mji ma mawazo mazuri ya kushauliana na mumuwe, anamiliki tu hela mbona?
Mwanamke hata kama ANA KIPATO KIKUBWA Kuliko MUMEWE, CHAKE ni CHAKE, CHA MUMEWE ndio CHA WOTEHello JF,.....kuna Imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli,.....leo nimeona mahali,ufafanuzi wake,lol.. Ni kwamba as a society,tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani kutunza familia,
Hii hali imefanya wanawake wawe tegemezi,...wasio na hela wala power, so katika kujenga familia tunatafuta security!.....Mtu mwenye hela na power ndio anaonekana anafaa kuwa naye.
****** hii haiwahusu wadada wa JF πππ
Old school women walikua wanaamini mwanaume ndiyo provider wa kila kitu, wanawake wa kizazi hiki hawakutakiwa kuwa hivi ni uvivu wao na kuhisi qumer ndiyo mtaji.
Marehemu Remmy Ongala katika wimbo Nasikitika alizungumzia wanawake kupenda pesa, yaani swala aliloliongelea miaka ile leo wanawake wana means zote za kujikwamua bado wanategemea uzuri na qumer viwape mkate wa kila siku.
pole dada,....sadly you've been lucky enough to find any....P.s usefull enough[emoji12]unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Rekebisha kauli yako, They still depend on our sperms to conceive, hata kama itakuwa kwa One- night stand !unaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
unawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis
which money?...and how about their money?