Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kama nipo mpweke na nimeweza sasa hata kesho nitaweza tuMkuu usiseme hivyo,tafuta mpaka upate lol,utaingia siku moja kuwaza mbona niko mpweke hivyo? halafu muda utakua umekwenda.
Our money is her money na ni haki yake. But we're greedy to her in love affairs....and how about their money?
Rebecca bana umenipiga nyundo ya utosi. Poa bwana. Hata mie nitafikia umri wako. Wanawake mmezidi ukiona tu mfuko tena wa mwanaume unajua una hela. Kama una kazi usiniombe hela bila sababu.kama umri wako ndio huo kwenye username yako,basi bwana...
Hili litaendelea kuvunja mahusiano mengi. Hawa ni wachoyoMwanamke hata kama ANA KIPATO KIKUBWA Kuliko MUMEWE, CHAKE ni CHAKE, CHA MUMEWE ndio CHA WOTE
Pumba tu hata kama mwanamke ana kazi anakubomu tu sasa wa kazi gani?
i dont practise one night stand!wa night stand labda sio wa kuishi nae lol
Rebecca bana umenipiga nyundo ya utosi. Poa bwana. Hata mie nitafikia umri wako. Wanawake mmezidi ukiona tu mfuko tena wa mwanaume unajua una hela. Kama una kazi usiniombe hela bila sababu.
That thing u call useless made you tha woman ur so pliiz respect itunawaza wanaume miaka hii? to hell with their useless penis!
Ha ha ha ha ha sikuamkii ng'oo hakuna mkate mkubwa mbele ya chai. Mie umri wangu unatosha kuexperience. Muda mwingine huwa nawaona wanawake kama parasite(wadudu nyemelezi) ama wachoyo. Mwanamke kama ana pesa ni zake tu. Shikamoo dadahahaaa mkuu sijakupiga bana,ila ukiwa mdogo,sometimes it means hujaona mengi,anyway niamkie lol
hakuna kitu kama hicho wanawake wengi (sio wote) mnapenda pesa ya mwanaume haijalishi worker or jobless..educated or uneducated wote mnapenda pesa ya mwanaume mmekuwa na typical way of thinkingunaongea haya sababu wewe ni kizazi cha dot com,wanawake wa kizazi cha leo wana access to eduction,hio imewafanya wawe na power na hela hivyo kutotegemea sana mwanaume kwa lolote
hakuna kitu kama hicho wanawake wengi (sio wote) mnapenda pesa ya mwanaume haijalishi worker or jobless..educated or uneducated wote mnapenda pesa ya mwanaume mmekuwa na typical way of thinking
nasubira povu
Miss natafuta umeishapata?unawaza wanaume miaka hii?
Na kibaya zaidi unakuta mkeo ( Mwenye kipato kizuri tu ) ananua vitu kama viwanja na kujenga bila hata kukushirikisha, Na kama mna watoto ndo basi tena hata kama wamefukuzwa ADA Hatoi pesa mpaka baba yao ATOEHili litaendelea kuvunja mahusiano mengi. Hawa ni wachoyo
Wanawake mabahili sana bora asiye na kipatoNa kibaya zaidi unakuta mkeo ( Mwenye kipato kizuri tu ) ananua vitu kama viwanja na kujenga bila hata kukushirikisha, Na kama mna watoto ndo basi tena hata kama wamefukuzwa ADA Hatoi pesa mpaka baba yao ATOE
- Binafsi huwa nikishuhudia ndoa za watu zilivyo unakosa mood kabisa