LifeMission
Member
- Mar 30, 2022
- 12
- 25
SWALI LA KWANZA
UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.??
Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ???
Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi
Kuna watu wanafungua Banda la chips Kisha wana fail, wakipata fedha wanarudia tena Kisha wana fail wanarudia tena wanafail au hawaendelei wanakua pale pale tu Kila siku ..
Hawa watu mara nyingi ni Wafanyakazi ambao wanapata mshahara hivyo wanajarbu ku invest tu Ila hawapendi io biashara kwakua wameskia Ina Ela kwa watu ambao hawajui Kila kitu Dunia hii kina Ela Siri mi FOCUS tu na kupata elimu kidgo sana,, basi wanaanza nao wanajikuta wana fail sababu
Hawaisimamii vizuri wao wanajua ndo sababu
Kuisimamia hili sio tatzo tatzo ni UNAPENDA ??
Utakaaje na mtu humpendi au kitu hukipendi ...
Sasa wekeza Banda la chips Kama unapenda na utawaza vitu vifuatavyo
1. Kulima viazi miaka 20+ mbele
2. Kuuza viazi jumla katiKati ya safari yako
3. Kuuza chips mwanzo wa safari yako
Hii inakuaje mpaka unapenda hivi
Kwenye Biashara lazma ufike mwisho kabla hujaanza
Sasa watu wengi hawajui kuwa inabdi uanze kuuza chips wakati kichwani unawaza kuja kulima viazi
:Hii inatokeaje ?
1. Unafungua Banda la chips moja Kisha.. unaangalia faida
Unayopata kwa mfano Banda la chips umetumia 5M
Ukitoa Kila kitu.. unapata faida ya 500,000 kwa mwezi
So utaitumia mwaka mmoja kufungua Banda la 2
2. Unafungua Banda la pili..
Utapa sasa unakua ukitoka Kila kitu unapata faida ya shi 500,000
Hii faida ya GENGE LA 2 haiingii kuzalisha GENGE LA 3
Hii unaitunza mwaka mzima
3.genge la 3 unafungua kwa faida iliotoka GENGE la kwanza ..
Sasa utakua na magenge matatu (3) ambayo kwa siku yanaweza kuwa yanamaliza Gunia zima la viazi hivyo unaanza kununua Gunia zima kwa Bei ya Jumla
Unagawanisha Branches zako
Angalau hakikisha una magenge ma 5
Kama Kila GENGE litakua linakuingizia 300,000
Maana yake angalau kwa mwezi mpaka hapo utakua na 1M ambayo huigusi kabisa
Kwa mwaka angalau utakua una 12M
Ambayo utaanza kununua kununua viazi jumla taratiibu unawauzia watu tofauti na GENGE zako
**Kuna njia za kupata wateja haraka sana tunazo Sisi... Ila wakat huo tegemea kwenye GENGE 12M Kila mwaka
Wakati wateja wa jumla wanaanza kuingezeka
Unakua unatanua Biashara na kumbuka kujiuzia nawewe pia kwa Bei Ile Ile unayowauzia wengine Ili usiharibie wateja wako wa jumla biashara zao
Maana wewe mpaka hapo unaweza uza chips yai 2000 kama upo Dar na faida ikawa kubwa tu au kavu 1000 tu
Lakini usifanye hivyo
Mpaka hapa Unaanza sasa kuwa unaagiza magunia
Unaweza kujua wateja wako ni wangapi na kwa Wiki unauza Gunia ngapi...
Utaenda utafikia hatua utaanza kuuza Gunia 500 kwa wiki
Sasa hapa manake inabidi uanze nawewe uanze kulima mashamba makubwa sana Ili
Angalau upate Gunia 200 ulizolima wewe wewe Ili faida iwe kubwa zaidi
Hatua ya mwisho utaanza kusafirisha nchi jirani kutokana na uhitaji wa nchi
Au Kama Kuna nchi unajua inauza Bei nafuu chukua nchi io Ili wateja wako wa jumla wapate viaz vizur kwa Bei Chee Ili uongeze Wateja ....
Kama ni mfanyakazi usiache tu kazi ukaanza ukajua ni rahisi tu .. Urahisi unaanzia *JE UNAPENDA unataka kufia kwenye viazi??
*Watu 100 wakitaka viazi je uko tayari miaka 20 mbele wakuwaze wewe tu na ndo utakua msaada wao ??
*Je upo tayari kufail na kurudia kwasababu umesema hiko ndo inakipenda
vitu huwa havisaliti kama binadamu ukikipenda kinakupenda.. ukifail jua kabisa umekisaliti sehem flaani jikague rudia Tena na Tena
*Usiwaze Ela utazoingiza kabisa Ila ukiona tu umewaza kuwa
NATAKA KUJA KULIMA VIAZI
we ni tajiri tayari na utakua na uhuru wa kifedha uzeeni mwako
Sijaandika mambo mengi na katika mfumo mzuri ambayo yatakuwaisha kwa haraka sana na masomo mengi sjaandika mojawapo ni...
Inabidi ujue kanuni ya Budget inayoitwa 50/30/20 na ndo uwe unaitumia kwasababu ushajua unakoenda na ushajua ndiko unapenda kua huko
Hii ni kanuni na inasema Kwa mfano unalipwa 100,000 kwa mwezi
50% ni pesa ya mahitaji muhimu Yani 50,000 itumike kulipa Kodi.. ukiumwa pamoja na chakula..
So huwez panga nyumba ya 50 wakat unalipwa 100,000 .. Ela ya kuumwa na chakula unatoa wapi?
30% hii ni Wants ,, vile vitu unavitaka Yan ata usipokipata unaishi kabisa ambayo ni sh 30,000
So fanya Bata zako zoooote Ila usizidishe 30 elfu
Utakua ushakosea kanuni na
Maana ya kanuni ni ukiipindua tu ujue umejiumiza mwenyewe...
20% ni ya kuinvest .. sasa hii ndo inakua inatoa Yale Magenge 5
Sasa Ili hii iwahi inabdi
Ujibane kwenye wants (30%)
Angalau utumie 15% ya wants Kisha 15% iliobaki unaiweka kwenye
Kuinvest so jumla Ina 35 elfu kwa mwezi
Najarbu kuelezea ujue sio tu unaenda kuanza paaap
Kuna mambo uliza kwanza inakuwaje jamani ...
Hili SOMO la LEO linaitwa
POWER OF FOCUS
Ninajua kuandaa Content nzuri kabisa za Biashara zifuatazo kwa yoyote anaechagua KUFOCUS
1.VIAZI
2.MAVAZI YA ZA KINA DADA hapa naongelea sendles Handbag,Offshoulder.magauni,sketi
3.MAVAZI YA WANAUME( hapa naongelea za kisasa tu
4.SIMU.. hapana naongelea Iphones,Google Pixels, Samsung,
Na biashara zingine ambazo ni General kwa mazingira ya watanzia ninaweza
Gharama ni thamani ya ulivoelewa na unapotaka kua.
LIFE MISSION STATEMENT