Sababu ya Msingi kuachwa Lomalisa akaletwa Boka ilikuwa ni ipi?

Jamaa aliondoka kinyonge sana ila alikuwa poa
Za ndani inasemekana hakutoa matibabu sahihi kwa Aucho na Pacome hivyo wakakosa speed recovery kocha na uongozi hawakupenda hiyo hali
 
Nje ya hapo pia alikuwa mstaraabu sana ila kwenye uchezaji jamaa alikuwa anajua sana ku scan mchezo
Boka sijamuelewa kabisa
Boka yupo vizuri , kuna kitu tu anapaswa kuongezewa .Lomalisa alikuwa sio mkabaji mzuri, akikaba lazima atengeneze faulu. Kimbinu Boka ni mzuri zaidi
 
Boka yupo vizuri , kuna kitu tu anapaswa kuongezewa .Lomalisa alikuwa sio mkabaji mzuri, akikaba lazima atengeneze faulu. Kimbinu Boka ni mzuri zaidi
Mpaka saivi mimi sijajua wanaomsifia Lomalisa wanamsifia katika nyanja ipi iliyomzidi Boka. Kwenye kukaba Lomalisa vs Boka naona Boka yuko vizuri.
Kushambulia Lomalisa vs Boka naona wanafanana tu isipokuwa Boka ana spidi zaidi.
 
Boka yupo vizuri , kuna kitu tu anapaswa kuongezewa .Lomalisa alikuwa sio mkabaji mzuri, akikaba lazima atengeneze faulu. Kimbinu Boka ni mzuri zaidi
Ngoja niendelee kumuangalia ila binafsi receiving zake bado sijazielewa
 
Mpaka saivi mimi sijajua wanaomsifia Lomalisa wanamsifia katika nyanja ipi iliyomzidi Boka. Kwenye kukaba Lomalisa vs Boka naona Boka yuko vizuri.
Kushambulia Lomalisa vs Boka naona wanafanana tu isipokuwa Boka ana spidi zaidi.
Mipira mingi ya boka akipanda huwa haina faida! Either inaishia kuchukuliwa,au anapiga tu ilimradi kama kibabage! Lomalisa ilikuwa anatoa pasi au kross za uhakika vinginevyo anarudisha nyuma ila mpira haupotei!

Boka anatakiwa aongeze utulivu
 
Wewe ni Kolo,hakuna mwanayanga asiyefahamu kwasasa timu inachopitia!
Hakuna Mwanayanga mwenye tabia za kishabiki za aina Yako....!

Na huo ndo Utofauti wa Mashabiki ya Yanga na Simba, na Nyie mmerithi Kwa Wazee wenu wa Simba.... Sote tulisikia Wazee wa Simba walichosema Majuzi...!

Yanga tumepita nyakati Ngumu Sana, hakukuwahi kuwepo hata mmoja akilalamika sembuse Sasa hivi...!

Tuache kidogo Malalamiko FC.
 
Mimi sio shabiki wa mpira lakini nimesikia watu wanasema hii timu tajwa (Yanga) huwa inafunga kila timu inayokutana nayo ikiwemo timu ya Simba. Kuna ukweli wowote?
 
Ukweli usemwe Lomalisa ni Bora kuliko Boka kuanzia Skills, mikimbio (sio mbio), kutengeneza nafasi hatari, kumwaga maji (krosi), kuzuia, na pia kupanda kwa wakati sahihi...

Lomalisa labda tu alikua na pancha nyingi by the way namkumbuka sana mwamba huyu Boka yeye ni kupiga tu mikrosi isiyo na kichwa Wala miguu... Anafosi aende mwisho wa uwanja ndo apige krosi wakati Lomalisa alikua anapiga krosi hata mbele kidogo ya msitari wa kati ya uwanja na inaleta balaa kwa wapinzani (rejea game ya usma vs Yanga fainali ya confederation...)

Basi tu mabadiliko yalikua n lazima lakini Lomalisa alikua FUNDI...
 
Timu inatengeneza nafasi za kutosha tu na haijaruhusu goli mpaka sasa. Tatizo mnataka timu ishinde goli 4,5,6 we unadhani wapinzani wamekata tu wanatizama. Huko uingereza Man City tu na ubabe wake anateseka.

Aucho, daktari wa Mpira kiwango chake kimeshuka sana tu msimu huu. Yaani Bora Mkude, amekuwa mzito anakabia macho yaani ni kazi.
 
Aucho bado yuko njema, mechi asiyokuwepo pale kati unaona kahisa pamepwaya.

Azizi Ki gari halijawaka.

Boka yuko vizuri.

Kocha wa viungo ana kazi ya ziada ya kufanya.
 
Una jicho la mpira
 
Kwa hiyo kuna mechi watu hawakamiani yamekuwA mazoezi?hivi wapinzani wa Yanga wao wanacheza mechi kila baada ya mwezi?kwAni Azam complex yanga ndo anashinda magoli mengi kila mechi?ukiondoa mechi ya pamba ipi ameshinda tatu na kuendelea?Kwa sasa washukuliwe Marefa bila hivyo mtaani kungekuwA na hadithi kwAmba yanga Ashamimimwa mechi kadhaa.
 
Unatumia pesa Mingi kusajili na bado unatumia pesa Mingi Kwa referees..Kihasibu imekaaje
 
Ila yanga wanakamiwa sana, pamoja na kurogwa na wazee wa simba
Vile vizee ni shida! Nasikia Dube analamika kila akiingia uwanjan anapata maumivu makali ya kichwa! Wazee wa Yanga wawasaidie hawa wachezaji, kuna uhuni unafanywa nje ya uwanja😀
 
Nyie zungukeni tu....! ..

Wakati mnajua fika kuwa Boka na Wenzie pale ni MEMKWA.

Tujipe muda Mambo yatakuwa hadharani...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…