Mimi nina mwasho kwenye kisigino.
Duh pole.Sjui kwakweli unaweza ukawa na funza au labda unakosa Vitamins..au utakuwa Una ugonjwa kwa ndani unaosababisha usikie kuwashwa kwamfano Kama Una blood disorders kama red blood cells nyingi,au kidney Failure,magonjwa ya Ini.Sababu kibao.Utakuta hata Hauna shida.See a dermatologist.Mimi nina mwasho kwenye kisigino.
Tell me what that kind of disease?
[emoji3][emoji3] poa poa... nilikuwa nakuhakiki tu.Duh pole.Sjui kwakweli unaweza ukawa na funza au labda unakosa Vitamins..au utakuwa Una ugonjwa kwa ndani unaosababisha usikie kuwashwa kwamfano Kama Una blood disorders kama red blood cells nyingi,au kidney Failure,magonjwa ya Ini.Sababu kibao.Utakuta hata Hauna shida.See a dermatologist.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app