Sababu ya njaa Kenya: Aridhi nzuri ipo chini ya wazungu wanalima parachichi, Chai na Maua

MY TAKE: Ni aibu kuona kwamba Exports zote za Kenya wazalishaji wake wakubwa ni wazungu, 1)Chai 2)Maua 3)Ovacado 4) Juice za Nanasi za Delmonte.

Wakenya weusi mnazalisha nini?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

The homeguards messed up Kenya but many communities like Kericho are more than ready to reclaim their land once we get the right government that is not put their to protect these colonialists.
 
Lazima vita itatokea (tena)
Mabeberu wataingilia na mtashindwa it'll get even worse
 
MY TAKE: Ni aibu kuona kwamba Exports zote za Kenya wazalishaji wake wakubwa ni wazungu, 1)Chai 2)Maua 3)Ovacado 4) Juice za Nanasi za Delmonte.

Wakenya weusi mnazalisha nini?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwani umesahau hao ni wasomi was " sant slave primary School " they love to be slave

Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
 
Kenya needs a good land redistribution policy. We know mabeberu are not willing to see it happens.
Ni kuwa kichwa ngumu tu.
 
MY TAKE: Ni aibu kuona kwamba Exports zote za Kenya wazalishaji wake wakubwa ni wazungu, 1)Chai 2)Maua 3)Ovacado 4) Juice za Nanasi za Delmonte.

Wakenya weusi mnazalisha nini?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Na bado hapo wanajiita wanajua sana kudai haki zao. Pia akili kubwa, halafu wana katiba bora katika sayari hii.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom