Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mpaka leo bei elekezi ya mafuta mwezi Septemba haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu
- Zoezi la kuongeza sifuri limekua gumu kwa sababu bei ya mafuta Duniani imeshuka sasa utaongezaje mafuta hapa kunawaweka Serikali katika wakati mgumu kwa sababu kupandisha bei ni kuwadanganya Watanzania waziwazi.
- Kelele za tozo za benki, kelele za tozo za benki kumewaweka Tanzania katika wakati mgumu wa kuongeza sifuri kwenye bei ya mafuta kwa sababu kwa kufanya hivyo ni kuendelea kuwaongezea machungu kwa Watanzania .
- Sababu hizo mbili ni mwiba kwa Serekali sababu lengo lilikua ni kuongeza sifuri