Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
M Bet m stands for Mwigulu?Huyu mwigulu mwenye kampuni ya betting? Kiongozi anaendesha gambling alafu mnataka maajabu😂😂😂
Na wanaweza kausha lakin Bei ikipanda chapu kwa haraka wanapandishaWakisema mwezi huu itashuka, wanadhani tumesahau, wanapotezea.
Tunaongozwa na watu waliokalia viti bila ridhaa ya wananchi. Tuungane kuwakataa watatupeleka SHIMONI.
Hapana watakwambia haya waliagiza June, kuna mafyekele mengine wanafanya hukoMpaka Leo Bei elekezi ya mafuta mwezi September haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu
NB: kumbuka anachojua mwigulu nchemba ni kuongeza sifuri tofauti na hapo hana ubunifu mwingine
- Zoezi la kuongeza sifuri limekua gumu kwa sababu Bei ya mafuta dunian imeshuka Sasa utaongezaje mafuta hapa kunawaweka serekali katika wakati mgumu kwa sababu kupandisha Bei ni kuwadanganya watanzania wazi wazi
- Kelele za tozo za benki, kelele za tozo za benki kumewaweka Tanzania katika wakati mgumu wa kuongeza sifuri kwenye Bei ya mafuta kwa sababu kwa kufanya hivyo ni kuendelea kuwaongezea machungu kwa watanzania
- Sababu hizo mbili ni mwiba kwa serekali sababu lengo lilikua ni kuongeza sifuri
Tupe majibu mkuu Mimi na OKW BOBAN SUNZU tunauliza M bet stands for Mwigulu Bet?Huyu mwigulu mwenye kampuni ya betting? Kiongozi anaendesha gambling alafu mnataka maajabu😂😂😂
Tupe majibu mkuu Mimi na OKW BOBAN SUNZU tunauliza M bet stands for Mwigulu Bet?
Kesho ni jumatano tutaonaBei mpya huanza Jumatano ya kwanza ya kila mwezi.
Petrol 2960 kwa Dar es salaamKesho ni jumatano tutaona
Ni kampuni ipi?Huyu mwigulu mwenye kampuni ya betting? Kiongozi anaendesha gambling alafu mnataka maajabu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ndicho wanachotaka kufanya, ila kwenye kupandisha ni sekunde tuHapana watakwambia haya waliagiza June, kuna mafyekele mengine wanafanya huko
Mpaka Leo Bei elekezi ya mafuta mwezi September haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu