Sababu za bondia Mtanzania Mwakinyo kufungiwa kupigana Uingereza zatajwa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba;

1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo alipatiwa kabla ya siku ya pambano hivyo alikijaribu na kujiridhisha kipo sawa!

Mdau alizidi kusema kitendo cha mwakinyo kusema alichezewa mchezo kwa kupewa kiatu kinachobana ni kashfa kwa bodi ya ngumi Uingereza ambayo ililenga kuichafua taswira ya ngumi nchini humo!

Hivyo mwakinyo kafungiwa kucheza michezo ya ngumi Uingereza kwa mujibu wa kanuni zinazozingatia 'Fair play"

2. Sababu ya pili iliyogundulika ni mazingira ya kuuza mechi! Hili nalo limechangia Mwakinyo afungiwe

3. Sababu ya tatu ni taarifa za kitabibu kutoka maabara ya uwanja wa ndege zilizobaini begi la Mwakinyo halikuwa na vitu vya kawaida kimchezo ambavyo vimetafsiliwa ni ushirikina katika mchezo.
 
Mwakinyo alifikiri mataifa ya wenzetu ni kama hapa bongo kwamba unaweza kudanganya na mambo yakaisha kimya kimya.
 
Mwakinyo siyo mwana Simba kweli? Maana kwa kuroga nje ya nchi hawajambo
 
Wazungu walijuaje wakati siku ile mwakinyo alikuwa anazungumza kwa kiswahili?

Au kuna snitch wa kibongo kawatafsiria?
 
Mwakinyo ni shabiki wa Utopolo siku zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…