Sababu za CHADEMA kutaka katiba mpya ndio sababu za CCM kukataa katiba Mpya

Sababu za CHADEMA kutaka katiba mpya ndio sababu za CCM kukataa katiba Mpya

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
20,419
Reaction score
39,217
Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai.

Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja zaidi ya porojo tu na kutafuta huruma kwa watz.

Lisuu shikiria hapohapo.
 
Back
Top Bottom