Sababu za choo kurudisha harufu ndani

Vp Kama kinatoa harufu kwa muda Fulani alafu harufu inakata inarudi Tena baada ya muda furani. Hapo tatizo nini
Tatizo litakuwa ni trap ina leakage maji yana pungua au trap haipo square.. Ina wezekana unapo kuwa una kitumia ukimwaga maji harufu ina kata maji ya kipungua kwenye tundu la choo harufu inarudi ita kulazimu harufu ikiwa inarudi umwage maji lakini pia ina wezekana lile bomba la kuondoa hewa chafu ambalo lina kaa kwenye chemba (vent) ni fupi lipo karibu na dirisha hewa ikitoka ina rudi ndani au pia ina wezekana slop mteremko wa bomba la kuchukua uchafu kutoka kwenye choo ukawa ni mkali sana uchafu una enda kiasi mwingine una baki ndani ya bomba hapo harufu lazima irudi kwa sababu kile kinyesi kitakuwa kina fyonza maji ndani ya trap hapo pana itaji malekebisho hili kikae sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuondoa harufu weka bomba nje ya choo lisilopungua inchi nne na lipite kimo cha paa la choo, pia bomba jingine fupi liwe kwenye shimo la uchafu.
 
Kiswahili chako na cha mleta mada kinafanana...
BTW una points nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…