Sababu za coolant kuisha upesi ni nini?

Sababu za coolant kuisha upesi ni nini?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Wataalam na wazoefu wa magari ninatatizo kwenye gari ambapo coolant inaisha mapema kwenye reservoir tank.

Nilipo watalaam wachache kwa hiyo ukiuliza wanakwambia nunua uongeze.Nimenunua mara kadhaa lakini hali inajirudia.
Tatizo linaweza kuwa nini?
 
Hiyo gari ina shida kwenye cooling system au kuna leakage sehemu fulani..tafuta fundi achunguze mfumo wote wa maji
 
Natafuta fundi anaeweza kuondoa hewa kwenye pipes zinazopitisha coolant kwenda kwenye cooling system ? Pia kama ana ile machine ya vacuum inayotumika kujaza coolant itapendeza sana . Kama upo naomba nii DM tafadhali
 
Back
Top Bottom