C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Apr 6, 2024 #1 Wataalam na wazoefu wa magari ninatatizo kwenye gari ambapo coolant inaisha mapema kwenye reservoir tank. Nilipo watalaam wachache kwa hiyo ukiuliza wanakwambia nunua uongeze.Nimenunua mara kadhaa lakini hali inajirudia. Tatizo linaweza kuwa nini?
Wataalam na wazoefu wa magari ninatatizo kwenye gari ambapo coolant inaisha mapema kwenye reservoir tank. Nilipo watalaam wachache kwa hiyo ukiuliza wanakwambia nunua uongeze.Nimenunua mara kadhaa lakini hali inajirudia. Tatizo linaweza kuwa nini?
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Apr 6, 2024 #2 Hiyo gari ina shida kwenye cooling system au kuna leakage sehemu fulani..tafuta fundi achunguze mfumo wote wa maji
Hiyo gari ina shida kwenye cooling system au kuna leakage sehemu fulani..tafuta fundi achunguze mfumo wote wa maji
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 6, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
S siriusblack JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 218 Reaction score 301 Nov 26, 2024 #4 Natafuta fundi anaeweza kuondoa hewa kwenye pipes zinazopitisha coolant kwenda kwenye cooling system ? Pia kama ana ile machine ya vacuum inayotumika kujaza coolant itapendeza sana . Kama upo naomba nii DM tafadhali
Natafuta fundi anaeweza kuondoa hewa kwenye pipes zinazopitisha coolant kwenda kwenye cooling system ? Pia kama ana ile machine ya vacuum inayotumika kujaza coolant itapendeza sana . Kama upo naomba nii DM tafadhali