Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

Hata yule Mchengerwa nae analalamikiwa kwenye wizara yake amepeleka ukiritimba, mambo hayaendi, mbona yeye hatumbuliwi?

Nawaagiza hao jamhuri waje na maelezo pia.
Mama hataki machawa, kama jamaa ana udhaifu atatoka
 
Hata yule Mchengerwa nae analalamikiwa kwenye wizara yake amepeleka ukiritimba, mambo hayaendi, mbona yeye hatumbuliwi?

Nawaagiza hao jamhuri waje na maelezo pia.
Unata mkwe atumbuliwe weeee shika adabu yako, alaaaaha huna haya weye
 
Kwa hiyo kalemani ndio alipandisha bei ya mafuta? hahahaha kwa hiyo bei ya mafuta itashushwa na January Makamba na sio sheria... na hahahahahahaha
 
Nawasalimi kwa jina la jaaa muhuri
 
Probably kilichomtoa ni wenye dili za kuingiza nguzo kutoka south Africa..so kuwnzishwa kwa nguzo za zege kumefanya hizi dili zife ndicho amemaanisha mdau

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wazawa:-Dola 47 kwa tani ya dizeli...
Wageni:- Dola 6 kwa tani ya dizeli...

Je, tuendelee kusafirishiwa mafuta na wazawa au kampuni za nje ili tupate bei nafuu ya matumizi ya mafuta?
Acha uwongo,,wapi utapata taoni ya mafuta kwa dolla 6 au dolla47?La pili kwa kuwa ni shindani si unawandoa kwa kigezo cha gharama kubwa walizotenda ubless zerikali nzima ni vihiyo?Nahisi hii issue ya mafuta wamepata sbabu ya kuwabomoa wasiowataka..ngoja tuone kwa januar kama lita itashuka hadi kufika 1400Tsh
 
Nakuhakikishia genge la JK limerudi mjini kwa kasi ya 7G
 
Duuh, kumbe kuunganisha umeme tsh 27000 ni ajenda ya Kalemani!!
Mbona team msoga walikuwa wanatuambia mama kapiga mwingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…