Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

Kama makala ya gazeti hilo ni yakweli, Basi Kalemani atawatesa sana.
Kumbuka yupo hai, huyu sio marehemu.

My take,
Ametumbuliwa kwa uzalendo wake.
Akitetea wazawa.
Hii nchi ni ngum Sana.
 
Mimi nasubiri kuona bei ya nguzo ikirudi, na gharama za kuunganisha umeme kubadilika ndo ntaamini otherwise......lakin kwa sasa sijui hata kwa nini wamemtoa keleman na kupiga kazi kote kule......
 
SUG inabidi itoweshwe kabisa vinginevyo italitesa sana taifa
hakuna kundi zuri hata hao msoga Gang wanaowapiga vita mnaowaita sukuma gang ni. vita vya maslahi tu ingekuwa si hivyo kwa mali asili tulizo nazo ardhi watu nk nchi yetu ingekuwa mbali kwa maendeleo hitaji letu ni kuwa na katiba yenye kuwapa wananchi nguvu na si wanasiasa kugawana madaraka ili wayatumie kujitajirisha wao na makundi ya watu wao yanayowaunga mkono huku wengine tukibaki mitandaoni kuchagua upande kama washabiki wa mpira huku makundi flani wakifaidika na mema ya nchi
 
Hawa wateule wa Magufuli walisha ona hii nchi kama mali yao.
Mh. Mama Samia Rais bado ana wabeba tuu. Yaani Watanzania wanyonge tuna wachangia matajiri halafu sie tuna ambiwa tulipe tozo.
Mabadiliko ya jana sijui yamemuachaje Mwigulu?? Na ni kundi hilo hilo. Mama ana kwenda kuangushwa na wanao mzunguka masalia ya Magu.
 
Kama alizuia nguzo Kutoka Afrika kusini Basi Ni mzalendo wa kweli
Kama aliamua kuwapa fursa wazawa waagize mafuta basi ni Jambo jema Sana

Kwa maelezo ya gazetu la Jamhuri ni wazi Dkt Kalemani Ni shujaa mtetezi wa Wazawa
 
KAMA ANATATETEA WAZAWA NAO WAAGIZE MAFUTA KIASI UBAYA UKO WAPI?


Wapiga Dili hawajawahi kushindwa, matokeo hadi sasa ni Wapiga Dili 7-1 wazalendo
naona kocha kawaongezea nguvu wapiga Dili kwa kumuweka Makamba Jr!
Natamani kufahamu inner circle ya hawa watu wenye nguvu kubwa ya kulinda maslahi yao kiasi hiki!....yaani nguzo za Umeme zimeanza tena kutoka South Africa, really!!!!??? Na bado tunashangilia uCCM na uCHADEMA!!?

Ila na wewe Kalemani msukuma mwenzangu siku nyingine uwe unawahi kumwaga ugali kabla hawajakuwahi kumwaga mboga, hujamsikia waziri wa Viwanda na biashara akisema kamwe hatakubali kutoa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje kwa wafanyabiashara na hata ikibidi ajiuzuru? JPM mwenyewe alitaka kujiuzuru mara kibao akikataa upuuzi kama huu uliokutoa nje......

Ila jamani wanasiasa wetu watupuuu hadi Konki Likwidi anawazidi.....ningekuwa Kalemani leo hii ningeitisha mkutano wa waandishi wa habari na kutoa ya moyoni kuliko kuwaachia watu maswali yasiyo na majibu...
 
Kama alizuia nguzo Kutoka Afrika kusini Basi Ni mzalendo wa kweli
Kama aliamua kuwapa fursa wazawa waagize mafuta basi ni Jambo jema Sana

Kwa maelezo ya gazetu la Jamhuri ni wazi Dkt Kalemani Ni shujaa mtetezi wa Wazawa
Unadhani member wa humu wanayaona hayo...
 
atu wanasema, lile genge linaloitwa huko mitandaoni "Suk...."
 
Kumtumbua kalemani kumuacha Majaliwa ni sawasawa na bure, uozo wote huo ulikuwa engineered na Majaliwa, yaani Sasa pm ndo Kama raisi, hayo yote ni maagizo yake
 
Kama hayo yaliyoandikwa kwenye gazeti ndio aliyokuwa anayasimamia Kaleman basi ni waziri bora sana!
 
"The rise and fall of Sukuma gang". Today three have fallen down. We ask for more to be brought down mainly those who were involved on making deliberate bad decisions with a purpose of sabotaging the system. They should be brought and laid low like an envelop.

Hii ni nchi nzuri na iliyo barikiwa na Mungu. Tusiwaruhusu waroho wachache na wenye uchu wa madaraka kutuburuza. Tunaomba hili la Kalemani lisiishie hapa kama kuna jinai kwenye mashinikizo yake na maamuzi yake ni vyema akafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayo mkabili.
Te heKwa hiyo Mchengerwa naye ni sukuma Gang?
 
Kama makala ya gazeti hilo ni yakweli, Basi Kalemani atawatesa sana.
Kumbuka yupo hai, huyu sio marehemu.

My take,
Ametumbuliwa kwa uzalendo wake.
Akitetea wazawa.
Hii nchi ni ngum Sana.
Pia kama kuunganisha umeme kwa elfu 27 eti isingelipa sio kweli kuunganisha watu wengi kungepanua wigo wa walipa kodi ya VAT kwenye bili pia kungeongeza walipa kodi wa kodi za majengo
Tanesco ni shirika linalofanya kazi kubwa ya kuongeza walipa kodi kuliko hata TRA. kalemani labda kuwe na makosa mengine lakini la kusema iwe elfu 27 au wazawa wapewe tenda sioni kosa. wazawa nao wanastahili kumiliki uchumi wa mafuta
 
Safisheni wote watu wa JPM mbaki Msoga gang ili tuje tuwahukumu 2025 kwa haki bila kuwaonea.
Si JK anawadanganya.
Hivi kwa akili zako finyu unajidanganya mnaweza kututoa madarakani kwa kutumia hivyo vikaratasi vya kura? Tupo tayari kuwauwa wote mnaotishia hatima za madaraka yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…