Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

MCHENGERWA hanaga maneno na mtu, anafanya kazi yake ya uwaziri vyema sana, na hata alipopita alikuwa mtu safi sana.
sana, huyu waziri ni mpenda haki, hapendi kuona mtumishi wanaonewa wala kunyanyaswa. naamini akikaa ktk wizara hiyo kwa muda ataondoa uozo wote ktk taasisi na idara za serikali.
 
WATU wengine bwana,husubili WATU kuaribikiwa then waja na ngojera zao
mimi unaniita "watu wengine?' naona unataka vita huku unaishi nyumba ya vioo.
Kwani JIWE tulipokuwa tunamwabia kila siku anapeleka nchi mtaroni mlikuwa hamuoni?
 
Kama ni hivyo basi Kalemani ni mzalendo, anataka makampuni ya wazawa nayo yapate nafasi.

Kwa hoja hii huyu ni hero siyo adui
Uzalendo kwako ubaguzi kwa mwengine.
Hata JIWE alikuwa mzalendo kwa SUKUMA GANG Ila mbaguzi kwa makabila mengine.
 
Kalemani ameponzwa na staili ya Magufuli ya kufanya mambo bila kufuata kanuni na taratibu ikiwa ni pamoja na mashauriano na wadau mbalimbali, hivyo zigo hili ni haki limwangukie yeye. Viongozi wengi wameharibiwa na Magufuli.
 
Vyovyote vile kalemani kaondolewa ili watu wapige hela. Nguzo za zege badala ya miti kutoka afrika kusini na mengine vigogo wanahusika kumng'oa. Ngoja tuone january na wapiga dili wenzake wakineemeka.
Mbona linaeleweka mkuu, Ngoja sanduku la kura lije
 
Kalemani ameponzwa na staili ya Magufuli ya kufanya mambo bila kufuata kanuni na taratibu ikiwa ni pamoja na mashauriano na wadau mbalimbali, hivyo zigo hili ni haki limwangukie yeye. Viongozi wengi wameharibiwa na Magufuli.
Mwigulu naye ni wale wale wanaongoza kwa akili zao wenyewe, SSH anahitaji kuondoa haya madude kabisa.
 
Wanakidhi mahitaji ya soko, au mpaka wapewe muda?
 
Nchi hii bwana; kuna mambo ya hovyo kabisa. Hali hii inadhihirisha umhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili viongozi wawajibike kwa wananchi. La sivyo wananchi wataendelea kubebeshwa garama kwa masilahi ya watawala.
 
Wanaonekana Ni wasomi,lakini kumbe hata wa "0"lever Ni wasomi waziri na utendaji wao Ni Makini kuzidi hata profesa/Dokt.ili awe na watendaji waziri aangalie huku chini Ni uzoefu tu hakuna Cha kishindikana.
 
Mfumo uliojikita mizizi, elewa baada ya JIWE teuzi karibu zote za sasa ni KUTOKA MSOGA;
SSH sidhni kama ana pendekezo lake, its like MSOGA ndiyo inaendesha nchi.
 
Hata yule Mchengerwa nae analalamikiwa kwenye wizara yake amepeleka ukiritimba, mambo hayaendi, mbona yeye hatumbuliwi?

Nawaagiza hao jamhuri waje na maelezo pia.
Yule anampa mauno mtoto wa tour guide,yuko home hakuna wa kumgusa
 
Vyovyote vile kalemani kaondolewa ili watu wapige hela. Nguzo za zege badala ya miti kutoka afrika kusini na mengine vigogo wanahusika kumng'oa. Ngoja tuone january na wapiga dili wenzake wakineemeka.
Nguo za zege zimeanza toka mwaka juzi hapo dar,kiwanja kiko bagamoyo cha wachina meko ni mhusika
 
Mbona haya yote ni masuala ya mgongano wa masilahi?
 
mimi unaniita "watu wengine?' naona unataka vita huku unaishi nyumba ya vioo.
Kwani JIWE tulipokuwa tunamwabia kila siku anapeleka nchi mtaroni mlikuwa hamuoni?
Aisee vita VYA nini tena Mkuu Kama nimekukwaza samahani, mavita Kama ya kule KWa jamaa aliepinduliwa Sitaki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…