Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

Kwahiyo Kalemani hakujua uchumi wa nishati?
Nakama alipotea maboya wasaidizi aka washauri wake walichukua hatua gani.
Bora tuambiwe ukweli tuamue kuliko kupewa report nusu nusu.
 
Wamepewa nafasi mafuta yamepanda bei. Ngozi nyeusi wakat mwingine ni balaa tu. Ila umesoma andiko hata ukaambulia kitu. Ungeokota kitu usingeandika ulichoandika.
Sababu ya mafuta kupanda bei ni wazawa kuwa waagizaji?
 
Hii taarifa sijuwi umeicopy wapi ila imesambaa haraka mitandaoni tena watsap kwa haraka.Nadhani labda kuna kitu hakipo sawa katika utumbuaji wake inaezekana kuna watu walimuandalia hii kitu,Ni kwa vile yeye kwa sasa hawezi kuongea ila kama angeweza kuongea kuna mengi yaliyofichikana.
 
Hawa kina Kalemani na Chamuriho walikuwa hawagusiki awamu ya tano. Kalemani ni ndugu yake hayati na Chamuriho ni mwalimu wake JPM pale Mlimani. They were well loved.

Alipoingia Mama wakamchukulia poa kwamba watampelekesha kadri watakavyojisikia. Hilo likawa kosa la kwanza tena kubwa, kule Mwanza Mama alipokwenda kufungua jengo la benki kuu jioni yake Chamuriho akampelekesha Mama aliyekuwa amechoka na ratiba, Mama alitaka apumzike na mkuu waziri akamlazimisha afungue chetezo za Ziwa Victoria na akaigusia japo kwa juu juu wakati akihutubia kabla ya ufunguzi.

Mbarawa ameshajaribiwa na JPM siku za nyuma ni mpemba ambaye ataongea lugha moja na Mama tofauti na hulka nyingi za wasaidizi ambao ni watu wa 'bara' wasiojua mengi juu ya mwambao wa pwani.
 
Majizi ya kura yanaparuana. Hawa wote ni matunda ya wizi wa kura ulioendeshwa kwa maagizo ya Magufuli. Hivyo wanaendeleza wizi uliowaweka madarakani.
Vyovyote vile kalemani kaondolewa ili watu wapige hela. Nguzo za zege badala ya miti kutoka afrika kusini na mengine vigogo wanahusika kumng'oa. Ngoja tuone january na wapiga dili wenzake wakineemeka.
 
Chochea kuni moto ushike kasi
 

Mume furaishwa sasa
 
Mkuu:
Tatizo ni kwamba, Waziri ni lazima atokane na wabunge, Rais ana nafasi kumi tu za uteuzi. Na wabunge wengi hawana sifa ya uwaziri.
Badilisheni katiba iyo ni mbovu sana na yule lukuvi amekuwa waziri sasa miaka ata idadi haina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…