Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

Mlokole ustaarabu 0 akianza kufanya ibada hapo kelele zake had mtaa wa 3
Na Kuna ile dini inaalikana jion kwenye majumba ya watu Leo hapa kesho pale unakuta ni wanawake tu ndo wamejaa mchungaji ndo mwanaume peke yake

wanachoenda kufanya ni kupeleleza tu nyumba flan watu wanaishije, ukimkataza wife wako asiende wanaanza kumuita kumlisha sumu badae unaanza mgogoro ndani hawaheshimu hata mamlaka ya mume kwa mke wake wao wanawachonganisha tu
 
Wee nae ni wale wale tu, yaan hiyo dini ya mkoloni inakupa kiburi cha kujiona mtakatifu na mkweli, lkn ungejua nn kipo nyuma ya hizo imani zenu uchwara, kwa hakika ungeshaachana nazo
Hivi huu si ni mjadara huru? Kuelezea kitu unachokifahamu lazima uwe mmoja wao? Ukiwa unajadiri mambo kwa muktadha huo wa inclusive utakuwa unalack something. Be broad minded bhas mkuu
 
Dini Gani hiyo mkuu?
 
Ubani siutaki kabisa , kuna binti nilimweka ofisini kila siku nakuta kachoma ubani ,nikimwambia why hana jibu ,nikamwambia sitaki fanya ukiwa kwako ,mwisho siku haachi basi nikamtoa kazini.

Ubani haifukuzi hata mbu ina kazi gani ya maana.
Mkuu ulimuonea bure Tu dada WA watu.
 
Marekebisho

1. Mamajusi wa mashariki ni wasoma nyota na walikuwa wachawi. Walipeleka manemane na ubani kwa ajili ya kuichukua ile nyota na kumpelekea mfalme wa kipindi kile. Mwisho wa siku walishindwa kuichukua ile nyota
2. Manemane na yenyewe ipo upande wa shetani, sababu pesa ni Kaizari (Ceasur)
 
Ohoooooo
 
Maelezo malefu lakini sioni la maana, unasema makanisa ya kilokole pamoja na lile la wasukuma la AIC, kuna kanisa la kisukuma ulisha liona wapi? Yaani tuseme Luthelani ya wachaga au? Kisa tu wa missionary wa hizo madhehebu walishukia huko

Popompo
 
Mkuu nimesema I am an open minded Muslim.

Kwa mtazamo wangu nasema WaPo sahihi lakini pia hawapo sahihi.
Nani amedhihirisha wewe ni opened mind mbona ata ulicho andika hapo hujakichambua vizuri unafiki ndo mwingi anyway hamuwapangishi wakristo coz mnawapenda sana !!!!!!!!!!
 
Baadhi ya vitu ambavyo Mungu aliviumba Kwa ajili ya kumsaidia binadamu Bwana Ibilisi amefanikiwa kuwahadaa baadhi ya watu kwamba Ni vya kwake yeye. Matokeo yake mna vinyanyapaa mnaacha kuvitumia vitu ambavyo kama mngevitumia vingewasaidia Sana.
Vipi kuhusu yule mnyama mnaemnyanyapaa nyinyi? Je hakuumbwa na Mungu?
Warumi 14:14
 
Umeandika utopolo(nonsense)
Hivi unajua maana ya Ulokole wewe???
Nadhani huwa unakutana na washika dini tu.

Halafu,c KILA Aingiae kanisani ni mlokole!! Hiyo dhana ya kuulinganisha Ulokole na kuhani Musa sijui umeitoa wapi??
 
kwa mujibu wa imani yao,mtu asiyeamini katika mafundisho ya muhamad kwa maana ya Allah na mtume wake,huyo ni kafir.

sasa wewe waite waite jina lolote tofauti na waislam,utaona moto wake.
Kafiri (mpingaji)ni mtu anayepinga Allah na uungu wake,siyo kila asiyeamini,maana mwingine hata ujumbe wa Allah hujamfikishia,utamwitaje kafiri!!!?...Kama anakipa sifa za uungu kiumbe lingine Basi huyo ni mshirikina
 
Kafiri (mpingaji)ni mtu anayepinga Allah na uungu wake,siyo kila asiyeamini,maana mwingine hata ujumbe wa Allah hujamfikishia,utamwitaje kafiri!!!?...Kama anakipa sifa za uungu kiumbe lingine Basi huyo ni mshirikina

sasa wakristu wangeitwa washirikina,labda ni jina ambalo halisound udhalilishaji zaidi ndio sababu wanaoa watumie kafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…