Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

Watu mtafika mbinguni lakini mtafika mkiwa mmechoka sana
 
Kafiri (mpingaji)ni mtu anayepinga Allah na uungu wake,siyo kila asiyeamini,maana mwingine hata ujumbe wa Allah hujamfikishia,utamwitaje kafiri!!!?...Kama anakipa sifa za uungu kiumbe lingine Basi huyo ni mshirikina
Kama waislamu wanapo lipa jiwe uungu , kazi ya kusamehe dhambi jiwe Lina fanya na sio tu kusamehe jiwe linafuta dhambi

O Abu abdur-Rahman, why do I only see you touching these two corners?" He said: "I heard Muhammad say: 'Touching them erases sins.'...Sunan an-Nasa'i 2919
 
Ishu wale walokole wanayakemea Sana majini ya kiislam hayakanyagi nyumba yenye mlokole Na ndomaana waislam hawawapendi
 
Ili kubalance stori,
Unazungumziaje swala la Waislamu kuita Kafiri kwa yeyote yule asiye Muislamu?
Mimi ninafsi naona haina shida kama wakristo wanavyosema bila yesu hauendi mbinguni The words with the same meaning but different sound ,kafiri ni neno tu la kiarabu sio tusi "Mpingaji ,Non believer"
 
Imeandikwa wapi hii ya asiye Mkristo kuwa mpinga Kristo? Kwenye Quran makafiri wametajwa na namna ya kuwafanyia
Kwahiyo unataka kusema maisha yako yote hujawahi kusikia hilo neno?
 
Harufu ya ubani ule wa kanisani huwa naipenda sana sijui unaitwaje ule

Ila harufu ya udi aisee sitaki hata kuisikia
 
Nimesema I am an open minded person.

Kwa wanao nifahamu wanajua kwamba Mimi Ni muumini mwaminifu Na mtiifi WA Dini ya Kiafrika

Mwamba Ile habari ya Mwanza kuhusu Bibi Fisi na Mwanalugondo ulitishaaaa
 
Harufu ya ubani ule wa kanisani huwa naipenda sana sijui unaitwaje ule

Ila harufu ya udi aisee sitaki hata kuisikia
Inaitwa ubani Maka au frankincense Kwa kizungu
 
Walokole wapo hivo Hata mashuleni tulikua na mwanafunzi mlokole hostel yetu yani mnatoka prepo mmechoka mnataka mlale yeye anaanza hapo atasali huyo tena kwanguvu mpaka analia ilikua shida na simu zilikua haziruhusiw japo uweke headphones basi mnabaki tu kusikiliza hahaha
 
Mim nadhani wanapenda wakatoliki kwa kua wako weak spiritually, ni rahisi kuwa challenge/kuwaonea kwenye anga za kiroho kimazingara
 
Mim nadhani wanapenda wakatoliki kwa kua wako weak spiritually, ni rahisi kuwa challenge kwenye anga za kiroho
Nani kakudanganya mkuu? Unadhani kusoma Sana bible, kukemea Sana Na kukesha kanisani ndio kuwa spirituality strong ?
 
Kwa mfano Walokole ukiwaita makafiri unawaonea...

Walokole ni 'vichaa' tu!
 
Ila walokole hata makazini tu kufanya nao kazi inahitaji moyo hata kwa sisi wakristo wenzao....
Ni kweli , hawa wanadai. Walitumwa kueneza injili kwa wote,, sasa sijui injili inamsaidia nini mungu hadi alazimishe watu wahubiriwe kwa nguvu....
Wakatolic na wasabato, Aic ni madhehebu ya watu makini hawaga papara yaani
 
Hata ulaya hizi imani ziliwapiganisha sana mpaka wakaona hakuna tija,
Pope urban alianzisha crusade, lengo la kuikomboa jerusalem , vita ilipiganwa kwa miaka karibu 900,na wakashindwa
Tangu hapo wazungu waliamua watapigana vita vya dini kwa akili, maana kwa nguvu ilishindikana,
Siku hizi wanatumia divide and rule tactics
 
Walokole ni watu wa amani sana wanafiti popote ukikosana na mlokole basi wewe ni kafiri mdogo ake shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…