Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

Umeona raha kutusema walokole ila tungewasema nyie ugomvi!!!Hivi waislamu hamnaga kazi ya kufanya zaidi ya kuwasema na kuwakosoa wakrsto au mnadhani mkitudhalilisha kwa fedhea,utani na dhiaka tutakufa!!!Waislamu bhana mna mambo ya kitoto
 
Usisahau kutuita walokole makafir wana wa laana ili múfurahi zaidi🤣🤣🤣😂😂😂😂Hongereni
 
Nimesema I am an open minded person.

Kwa wanao nifahamu wanajua kwamba Mimi Ni muumini mwaminifu Na mtiifi WA Dini ya Kiafrika
Hapana kua mkweli wewe ni muafidhina wa kiislamu huna utiifu kwenye dini za kibantu!!!Uongo ni sumu kwa wabantu
 
Tupe sources of ur information kaka na sisi tuelimike
 
WANAOGOPA VIBUYU VYAO VITABUTUKA MAANA YESU ANANGUVU KULIKO MUHAMAD NDIO MAANA WAKRISTO HATUPANGISHWI NYUMBA ZAO KWAKUWA ZIMEJAA USHIRIKINA MTUPU
Hili neno ushirikina maana yake ni kuabudu kiumbe badala ya mungu 1 kitendo cha kumuabudu yesu mwana wa mariyamu huo ndio ushirikina haswa ndio unafatia uchawi nk hili neno shiriki ni neno la kiarabu linapatikana kwenye qur,aan lenye maana hiyo hapo juu pamoja na kuabudu masanamu nenda kila kanisa kuna sanamu,tatizo lenu unitia kujua mambo hali yakuwa amya jui ukirisito hauna mizemo ya kutosha maneno mengi mnayo tumia yametoka kwenye qur,an najua utapinga kwa sababu uelewa wako ni mdogo
 
Umeona raha kutusema walokole ila tungewasema nyie ugomvi!!!Hivi waislamu hamnaga kazi ya kufanya zaidi ya kuwasema na kuwakosoa wakrsto au mnadhani mkitudhalilisha kwa fedhea,utani na dhiaka tutakufa!!!Waislamu bhana mna mambo ya kitoto
Kwani alie anzisha kometi hii ni muisilamu au mkirisito? soma kometi za wakiristo aone wanavio tukana
 
Ubani hauna shida ila udi una shida
Udi mwingi unaouzea tanzania ina mchoro ya mungu wa kihindu

Hata mashekhe hawapendi udi
 
Kaka hata wewe unaongea mambo ya kusadikika aliyoyaleta Mudi hadithi zake za kiarabu!!!Na kila mmoja anaona mwenzake ana upeo mdogo!!!!Waache wamuabudu Yesu ambae ni Mungu wa wakirsto na wewe muabudu allah ambae ni mungu wa waislamu!!!!Usiwalazimishe kuamini unachoamini kaka
 
Ukweli ndio huo,kiswahili kinatumia maneno mengi ya kiarabu hata hiyo biblia maneno yake mengi ni ya kiarabu,miongoni mwa maneno hayo ni hili neno mshirikina maana yake kuabudu kutegemea kiumbe mfano kuabudu sanamu yesu huwezi kuwa mchawi lazima kwanza uabudu majini mfano wachungaji utumia majini kuwahadaa watu huo ndio ushirikina wenyewe,utaki lete maana ya neno mshirikina na ueleze hilo neno ni la rugha gani? Katika rugha zinazo tengeneza kiswahili
 
We muongo unajificha tu kwa sababu ya kukosa haja dini yako mbona inajulikana? hacha kujificha wewe ni mkirisito mungu wako ni yesu usifiche imani yako ndugu
Yeah upo sahii kaka Mungu wetu ni YESU na hakuna cha kubadili hilo kaka!!!Wewe kaa na Mudi pamoja na mungu wake allah hujakatazwa kaka
 
Biblia imeandikwa lugha zaidi ya milioni moja duniani kote kaka
 
Wanawakubali wakatoliki kwasababu hawana effect yoyote kwa mazindiko, misukule na majini yao....
Kwa ufupi Wakatoliki huwa wanasali kwa ajili ya maisha yao ya kiroho, sio kwa ajili ya kusumbua wasio wa imani yao. Wakatoliki huamini katika kulieneza neno la Mungu kwa atakayekuwa tayari, na yule asiye tayari unakung'uta mavumbi, unaondoka. Hakuna haja ya kumlazimisha mtu kwa kupaza sauti ya spika
 
Ni kweli mamajusi walikuwa wachawi. Lakini nguvu za Mungu ziliwaongoza na wakaiona ile nyota ya mashariki, maana walikuwa wameshapotea hadi kufikia hatua ya kumuuliza Herode. Lakini pia waliisikia sauti ya Mungu na kuitii, na ndio maana walipoambiwa na Roho wa Bwana kuwa wasirudi tena kwa Herode, walitii na wakaenda kwa njia nyingine

Kwa ufupi mtu anapolitafsiri neno la Mungu anahitajika awe na upeo fulani wa elimu, hasa katika kuunganisha matukio kwa nyakati (chronologically)
 
Kama Walokole wanachukia ubani,hilo ni kosa. Hakuna dini bila ubani na udi.
Lakoni tatizo la Walokole ni kusali kwa mihemuko( mihemuko psychologists wanatuambia ni emotions). Walokole wanaamini kwamba sala itajibiwa kama wakizidisha mihemuko. Hilo ni kosa.. Sala hazijibiwi kwa sababu hizo. Waombee watu wengine,sala itajibiwa.
Lakini kama Sala zako ni za kutaka mambo yako binafsi tu, au unataka adui yako apate ajali,sala haitajibiwa na Mungu ambaye ni MUNGU WA WOTE. Unaposali kumbuka Mungu ni MUNGU WA WOTE.
.
 
Bro una low IQ, hii mihemko unayowadhihaki nayo inawapa amani na wanamuona Mungu, binafsi sitetei pande yoyote lkn walokole ndio watu sahihi wanaofanya maagizo ya Mungu muumba. Na wana nguvu ya kiroho kuliko muisilam, mkatoliki wala chchte....mm ni mkatoliki lakini biashara yangu naiombea kwa desturi ya walokole coz ndio wana nguvu spiritually....kwingne kukukera wewe sio sababu uone hawafai, spiritually you are the loser na hauna nguvu kama hawa jamaa....padri, shekhe wote hawana nguvu spiritually km hawa jamaa tunaowadhihaki....refer kipind cha NUHU wale walio mdhihaki nawafananisha na wewe bado hujajua/ hatujui tulitendalo spiritually ngonj tufe siku ya hukumu Mungu ataamua....ASANTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…