LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Vitabu vitakatifu vya Dini zetu pendwa vinamtaja Sarai ama Sarah kama mwanamke aliye kuwa anakabiliwa na changamoto ya UZAZI.
Vitabu hivi vinatueleza kwamba suala la Sarai kuwa na matatizo katika UZAZI lilikuwa ni suala la kiroho.
Hata hivyo suala la Sarai kuwa Na changamoto ya UZAZI linaweza kuelezewa kisayansi Na Hilo ndio lengo langu kuandika makala HII.
Kabla sija zama into details Nianze Kwa kutoa angalizo kwamba haya nitakayo yaeleza Ni maoni yangu binafsi( my personal opinion). Sina maana kwamba nitakacho kiandika hapa ndio uhalisia.
Back to the point. Sarai alikuwa na tatizo la UZAZI Kwa Sababu ambazo Zina maelezo ya kisayansi.
Sababu kuu kwanini Sarai alikuwa na matatizo katika uzazi ni Kwa Sababu ali olewa Na KAKA YAKE WA DAMU MOJA. Kaka ambae wali share baba mmoja lakini mama tofauti.
Naam Ni Kweli kabisa Sarai Na Nabii Ibrahim walikuwa mtu na kaka yake ambao baba Yao alikuwa mmoja isipokuwa mama zao ndio walikuwa tofauti.
Ushahidi wa kimaandiko? INAENDELEA.
Naomba MTU asikoment mpaka nitakapo malizia Uzi