Sababu za kisayansi kwanini Sarai mke wa Nabii Ibrahim alikuwa na shida ya Uzazi/ Uzazi mgumu

Kwani Yakobo hakuoa binamu zake? Na mke wa Yafethi ni nani? Sina kumbukumbu kama alikuwa na changamoto ya uzazi. Na mke wa kaini ni nani?
 
Ina make sense eeh?
Haimake sense

Mimi nadhani yule mmiliki wa mapiramid alimsukuma kizazi bibie na kukinajisi

So huyu jamaa na kibamia chake akawa anaogelea tu baadae

Ni maoni yangu lakini
 
We ni mwenye janja mingi mingi. Kule juu umeweka ilani kwamba tusichukulie hii hoja kama rasmi bali maoni yako binafsi.

Nimependa namna ulivyoweza kuijenga hoja kwa uzuri sana ingawa unajua kabisa jamii ya Watanzania hawana utamaduni wa kusoma vitabu kama ulio nao wewe. Hasa kwenye issues za Waespotania wa kale na mambo ya Uru. Hayapatikani kwenye Biblia pekee. Kuna findings mbalimbali na mpya zinazoendelea kuleta uthibitisho usio na dukuduku.

Nakuuliza, je kisayansi imekaaje kwa binti wa miaka 60 kama Sara kushika mimba na kuzaa?
 
 
Sarah alipata mimba akiwa Na miaka tisini ( 90) KISAYANSI Ni "muujiza" Kwa mwanamke wa miaka 90 kunasa ujauzito. Na katika sayansi neno " muujiza" ni " muujiza"
 
Mkuu una hoja mwanzo nilikuja na fimbo nikupige usoni ila ulivyokuwa unaendelea nimeshusha mkono
 
Hahahah, watoto wa Adam na hawa walioa au kuolewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ