PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Natanguliza Shukrani kwa jinsi kila mwenye kujua masuala ya sheria ata saidia hili suala.
Mimi siyo mjuzi wa sheria lakini naomba kujua yafuatayo:-
Kuna mtu alipata birth certificate kwa jina lake na wazazi wake (Baba na mama) kama ilivyo Kawaida ya sheria, akiwa na umri wa miaka 20 na majina hayo ndo kayatumia kwenye nyaraka na vyeti mhimu ikiwemo vya kitaaluma.
Alipofikisha umri wa miaka 32 ikabainika kua yule baba ambae amekua akijua ni baba ake mzazi(ambapo ndo jina alilotumia Kama la baba, na babu-Surname) siyo baba ake mzazi na hilo likathibitishwa na mama ake mzazi.
Sasa kijana anahitaji kubadilisha jina la baba na ukoo kwenye birth certificate yake ili liendane na taarifa za baba yake halisi.
Je, inawezekana au haiwezekani? Kama haiwezekani ni kwa sababu zipi na kama inawezekana ni hatia zipi za kufuata?