Nadhani mmemuelewa vibaya, alichosema yeye ni kuwa wizara ilikusudia kuwagawa walimu kwenye mikoa minane tu ambayo waliamini ipo nyuma zaidi, lkn matokeo ya form two na four yamewafanya wagundue maeneo mengingine yenye uhitaji kwa hiyo wanalazimika kupanga upya. Ni hayo tu.