Sababu za kuishi maisha mafupi

Sababu za kuishi maisha mafupi

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
Ufeki
Ufeki
Kufeki
Vyafeki

Nyumbani unakuta una li sabufa feki linakupiga kelele na kutokujua unaweka msauti mkubwa kukomoa majirani kumbe unajimaliza mwenyewe.

TV feki linakumulikia mwanga mbofu unaua macho, unaua viungo vya mwili kimoja baada ya kingine, kwani maisha yako usiyafupishe.

Una ma earpods feki kutwa kwenye sikio kisa tukuone na wewe mjanja kumbe unaua ngoma za masikio yako, usife mapema.

Una mtisheti wako feki wa nylon material, unazurura nalo kariakoo jua kali unajipiga pasi mwili, usife mapema kwanini?

Una msimu wako feki unatoa mionzi kupotiliza viwango vya kimataifa na unalikodolea muda wote na kulisikilizia sikio la kulia, usife mapema kwaninj?

Unakunywq mpombe wako brand ya gharama kumbe feki unakaanga maini usife kwanini?

Manzi ako ana miliki li wigi feki linakatika katika kila saa anakupigia kwenye msosi unakula mikatani, usipate kansa ya utumbo ufe mapema?

Jifunze kununua vitu genuine, ni gharama lakini jali afya yako na ya uwapendao.
 
Hapa labda pombe tu ndio inahusu, huko walipoendelea wanapoishi muda mrefu kuliko sisi wanatumia hayo mengine yote.
 
Ni mtazamo na jukwaa lenyewe sio la kuwa serious sana mkuu
 
Mawazo yako yaheshimiwe ingawa hakuna uhalisia hata chembe ila hongera kwa uthubutu. Karibu tupate kinywaji mkuu pande hizi.
 
Back
Top Bottom