Habari za usk waungwana. Naomba kwa mwenye ditel za uhakika ni sababu zipi zimepelekea tukose mkopol? Je ni pesa zimekwisha? Je tunanuksi na hvt tukaoge maji ya baharini tutoe nuksi hizo? Au ni vigezo vp vimetumika hadi tunyimwe mkopo? Naombeni mnifahamishe waungwana wangu.
appeal tena UTAKULA KWA JASHO doesn't matter what YOU know but WHO you KNOW{tribalism},, nenda heslb utapata, watu 2mekosa weng itakuwa kuna mistake huko HESLB