Asilimia kubwa ya waliopo humu JF ni watu wenye IQ kubwa sana. Nilichokiona suala la kuachiwa Mbowe ni suala kubwa na hah
Muhimu watu tuelewe kuwa Siasa is about attracting peoples mindsets.
Iwapo chama cha siasa kinashindwa kufikia lengo hilo, chama hicho kinapaswa kipiganie nafasi za ububge na udiwani chache lkn si kuchukua nchi.
CCM na SSH wanatambua hili na wanafanya juu chini ili mpinzani wake asifikie lengo hili.
Ili kufikia lengo hili CCM wanatumia mbinu zile zile za kikoloni za wagawe uwatawale.
Kwa mfano kabla ya Uhuru wakoloni waliwagawa watz kwa misingi ya dini.
Baada ya Uhuru watz waligawanywa kwa misingi ya itikadi. Itikadi ni hali ya kuwalisha na kuwabadilisha umma wako wawe wagonjwa.
It create a community of sick people.
Ndio watu wana msemo wao; Every ideology need theology to make it legal.
Ngoja nitoe mifano michache ili nieleweke vema.
Wakati Fulani kulikuwa na akina ngangari..... Nakumbuka tukio LA mwisho kubwa lilowaacha wakazi wa dar midomo wazi ni tukio la Mwenyekiti huyu kuteuliwa na kuwa mjumbe wa kamati ya uchumi ya UN na mshauri wa uchumi wa imf kwa nchi zaidi ya 10 afrika alifanyiwa mapokezi had I uwanja wa ndege ulitema.
kuna matukio ya viongozi wengine kushitakiwa. Lkn tofauti na Mbowe, hao wengine kesi zao ziliwekewa zuio la kutoruhusiwa raia kusikiliza shauri. Kesi kama ya Sheikh ponda na mashelhe wa uamsho.
Serikali ikiogopa kutoa attention ambayo iliyarajiwa kuonyeshwa na wakazi wa dar.
Sasa ndugu zangu chadema hawajatambua hilo. Kesi ya mbowe inatajwa wanaosikiliza ni vijana wageni wa dar.
Hivyo sababu kubwa iliyofanya mbowe kukosa attention kote kote ni kwasababu chadema haina imekosa mbinu na inashindwa kuwavutia wakazi wa pwani ya tz ambao ndio wanaoweza kusimamisha nchi kwa masaa kadhaa