sababu za kuku kustop kutaga

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
habari jamvini!mitetea yangu mitano baada ya Kuwanyang'anya mayai na kumpa kuku mmoja alalie hawa walio baki hawajataga tena sasa yapata wiki nne kasoro,inanichanganya sana,
 
hio ni kawaida tu kwani huchukua week 3 au 4 ndo waanze tena kutaga, so kuwa mvumilivu kidogo ndungu usiwe na haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…