Sababu za kutofanikiwa kukuza biashara Tanzania

Sababu za kutofanikiwa kukuza biashara Tanzania

changman

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
229
Reaction score
90
Niaje? Kwasasa nafanya research kujua ni vitu gani vinasababisha watu binafsi kushindwa kufanikiwa kujenga biashara zenye mafanikio. Ni vitu gani au matatizo gani yanasababisha watu kushindwa kuanzisha biashara zenye mafanikio?

Asanteni
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
1.Sera mbovu za serikali.
-Matsushita kiwanda kilichokua kinatengeneza betri kilikufa kifo cha mende baada ya wachuzi kuanza
kuingiza betri kutoka nje.Nchi nyingi huwa zinajaribu kulinda viwanda vya ndani lakini kwa Tanzania ni vice versa.
-Mkulima wa mahindi huko Iringa baada ya mavuno angependa auze mahindi popote apendapo ili apate faida,lakini
serikali itakuambia hakuna kuuza mahindi nje.

2.Miundo mbinu mibovu na siasa katika suala la umeme.

3.Urasimu kila idara
Bandari,TRA,Brela,nk.

4.Mikopo isiyokua na mvuto.
-Nchi nyingi zilizoendelea interest rate ya business loan ni kati ya 2%~7%,
kwa Tanzania kila mtu anajua rate zipoje.

5.Ukijumlisha na ufisadi..................
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
1. Passion of the business owner.
2. Stiff competition ( substitute products quality/cheap/available)
3. lack of Patience ( biashara hufa mapema sana as expenses exceed revenue)/ and mis interpretations of accounts
4. Business people they dont reinvest their revenues ( savings)
5. Business Environment ( rushwa, Wizi, Shida, Kodi, Bad policies,
6. Uaminifu wa employees, wengi hawafanyi kazi ipasavyo. but wanaiba zaidi.
7. Biashara hazina systems.
8...........
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Back
Top Bottom