Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Hahahaha nimecheka sana
 
Kuna jamaa anaitwa Richard kayombo alikuwa tanzania one masomo ya pcm.
Sasa hivi ukimuangalia ukipanha wake hauendani na life anayoishi kabisa. Anauza vitabu tu vya physics sina uhakika kama vinamlipa wakati watu ambao uwezo wao darasani hasa secondari ulikuwa mdogo sana ndio hasa hawa maprof na madoctor wa vyuo.
Kwa nini vipanga wengi hawatoboi lakini?
 
Uzuzu wako peleka Facebook hapa hatujadili maisha ya watu
 
Tanzania watu waliokuwa wanapata A darasani huwa hawati hiyo kwenye uhalisia wa maisha.

Wale waliokuwa wanasoma kawaida tu bila kujitesa ndio angalau wana maisha ya "kujimudu".
 
Mfumo wa elimu Tanzania n wa kimaskini sana na hauzingatii katika kujenga uwezo
 
Sio vizuri changia maada kama huwezi usifanye hivo
Weka katika namna ambayo hutataja jina la mtu Kama anaishi vibaya au vizuri ni maisha yake private,unaanzaje kutaja Jina la mtu kuwa anaishi maisha ya dhiki ??? We kwa akili zako huoni umekosea??
 
Weka katika namna ambayo hutataja jina la mtu Kama anaishi vibaya au vizuri ni maisha yake private,unaanzaje kutaja Jina la mtu kuwa anaishi maisha ya dhiki ??? We kwa akili zako huoni umekosea??
Ni kweri amezingua Sasa ungemwambia hivo angekuelewa....ungempasha kwa maneno haya ambayo umeniambia Mimi....sio vile mkuu
 
Richard Kayombo au Elias Kihombo,yupo wapi huyu jamaa
 
CCNP Engineer

Mimi olvl nilipiga A kumi na nikawa TO
Advance nikagonga PCM nikacharaza 1.3, TO
Chuo nikapiga GPA 4.9.

Sasa ivi nafanya mtandao flan wa sim nakula net usd 15,000/month.

Suala la vyeti pambana na mimi hatua ya makundi ili mshindi ndio akabishane na mtoa uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…