Kuna jamaa anaitwa Richard kayombo alikuwa tanzania one masomo ya pcm.
Sasa hivi ukimuangalia ukipanha wake hauendani na life anayoishi kabisa. Anauza vitabu tu vya physics sina uhakika kama vinamlipa wakati watu ambao uwezo wao darasani hasa secondari ulikuwa mdogo sana ndio hasa hawa maprof na madoctor wa vyuo.
Kwa nini vipanga wengi hawatoboi lakini?