themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,806
- 2,830
Yaani huu uzi umeniumiza maneno mnayoanza kutumia,kwaherini naona hapa si mahali kwangu tena,ulikuwa kwa ajili ya utani naona sasa matusi yanatawala.
Mzee wa Cundulaligates and Kagonokasibility..! Ana fiksi kama enzi za Mulugo alivyokariri Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe. Ahahaha!! Fiksi tupu.
Shot fired!
nataka aje... ninajua namna ya kumdhibiti.
Ah ah ah ah ah mpe uhuru bass shida kadoda umembana sana kiranga mwachie kidogonataka aje... ninajua namna ya kumdhibiti.
haitokuwa mara yangu ya kwanza "kumshughulikia"...kumbukumbu zangu za ''nyuma'' bado anazo.
kama namuona vile anavyosoma post zangu kimya kimya huku kakunja ndita kwa hasira. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu ninaowaheshimu na wanaoniheshinu wameniasa niachane na uzi huu.
Noted bro....Watu ninaowaheshimu na wanaoniheshinu wameniasa niachane na uzi huu.
Kiranga Mh kwa heshima uliyo nayo jf tafadhal jibu japo hoja chache za kadoda11Watu ninaowaheshimu na wanaoniheshinu wameniasa niachane na uzi huu.
Nope! I'm just having a lot of fun mkuu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee baba inaonekana leo unahasira
shukrani sana. ila kwa huzuni kubwa naomba niachane na thread hii.Ila kadoda11 wewe ni kiboko yaani umemdhibiti yule ndugu yake na shetani ipasavyo.
Nakutunuku hati ya udhibiti wa kijeshi na kipolisi uliotukuka. Asanteni!
@ambiele kiviele nakuona unasomba Mchanga tu unampa mzee apute...mzee wapi!! Anatokea mbavuni tu! This is fun sana...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na Mimi nakushari uachane na huu Uzi maana haya mavijana hayana adabu.Watu ninaowaheshimu na wanaoniheshinu wameniasa niachane na uzi huu.
Izi ramli chonganish nilojifunza katika kilinge cha mshana jr π π π@ambiele kiviele nakuona unasomba Mchanga tu unampa mzee apute...mzee wapi!!
Nimependa sana unavyoipiga ramli yako chonganishi!
Anamfukuzia d.c lzm ajitambe na kuonyesha manjonjowe jamaa bana kwa mbwembwe...
hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.
lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
Kiranga na kiranga chakeYani mashetan ya mshana jr yananiambia kuna kira dalili za kiranga kununua ugomvi......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mamaeeeWewe mzee nenda kule intelligence ukaandae nondo zako za kipagani tutakukuta huko...huku mavijana tumepinda tutakulaza na viatu kwa maneno ya shombo... Maana naona unarusha mapu.mbu tu bila utaratibu... Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Take a pill and chill....!
Kiranga [emoji23] [emoji23]Nakuona unatafuta huruma ya hadhira.... Ahahaha!! Yaani wewe unavyo mmock God Leo ulidhani wote tunaenjoy lakini mbona tunakaaga kimya na kukuacha umalizane nae Leo Mimi kummock mtani wangu wewe imekuuma sana? Acha unafiki asiempenda Mungu asie muona hawezi kumpenda anaemuona.
Go home kiranga you are drunk.
Hii ngoma ngumu namwona ccnp engineer anasoma tu