Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Mods na Admin namomba muiache hii thread hapa kwani inaonyesha jinsi gani wanasiasa wanvyoirudisha nyuma hii nchi
Mary Nagu anasema wazi kuwa hawezi kufanya mkutano wa siku 3 mfululizo kila miezi 3 na wawekezaji na wafanya biashara wa ndani na nje ya Tanzania kama wanavofanya Rwanda ili kujadili issues ambazo wanakabiliana nazo kama vile:
TRA
BRELA
TPA
ARDHI
IMMIGRATION
TIC
Hii imekuja baada ya kumjibu mmoja kati ya wawekezaji toka Kenya ambaye hivi karibuni ilibidi afunge biashara yake ya Retail pale mlimani city.
Sasa Mary Nagu hakujali serikali inakosa mapato kiasi gani, Hakujali waTanzania wangapi wanakosa ajira na pia hakuangalia umuhimu wa kukutana na mwekezaji huyu ambaye kaamua kwenda kufanya biashara Rwanda.
Upande wa Lazaro. Huyu naye anadai kuwa Mama Nagu kila kitu kashikilia yeye na watu wake hivyo inakuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na anaona bora aendelee na biashara zake binafsi na kuendelea kutengeneza network ya biashara zake kwani mikono yake imebanwa
Lakini wana JF ningependa kuwafahamisha kuwa wafanya biashara wengi wa Tanzania wanaona bora waende kufanya biashara Rwanda na Msumbiji kuliko Tanzania ambako kwa KUSUDI serikali inawarudisha nyuma na inafanya mazingira ya kufanya biashara kuwa magumu zaidi.
lakini hebu Tazama hii ripoti:
Doing Business in Tanzania - World Bank Group
Minimum kufungua new business in Tanzania kama hutaki inacost laki 7. Je kweli tutakuwa na taifa lenye ma entrepreneurs?
Mwisho ningependa kupmba mwenye CAG report ya BRELA atuwekee hapa tuijadili
Naomba Mods/Admin msihamishe hii thread kwani inawagusa wanasiasa na ina ya muhimu sana ambayo itabidi yaangaliwe