Kwa kawaida wachezaji wakiwa hawampendi kocha,hamasa ya uchezaji hupungua.
Anapokuja kocha mpya,hata akiwa mchovu au wa kawaida,wachezaji hucheza kwa kujituma ili ku-mprove wrong aliyepita.
Baada ya Mechi kadhaa timu hurudi kwenye hali yake ya kawaida(ya uchovu).
NINALIA NA KWANINI KIM POULSEN ALIONDOLEWA NA TFF