Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umefunga mjadalaHao wengi wao ni ATHEISTS.....
Mtu anaye muamini na kumuogopa mungu mara nyingi hawana hizo tabia...
Nb:"Mara nyingi"
Hii nadharia ya hofu ya uwepo wa Mungu inamashaka.
Hivi unazani wapangani hawafanyi Matendo ya MUNGU? Yaani asiye na dini anaweza kufanya Matendo mema kuliko hata wanashinda kwenye nyumba za ibada, tena hao washinda kwenye nyumba za ibada ndiyo wanaongoza kwa ubaguzi na ubinafsi.Hii nadharia ya hofu ya uwepo wa Mungu inamashaka.
Kati ya sasa na miaka 50 iliyopita dini imetamalaki au imepungua?
Miaka ya nyuma wapagani walikuwa weng kuliko sasa lakini ustaarabu ulitamalaki.
Jamii iko destructed na haina morality.
"Hofu ya uwepo wa Mungu".Hivi unazani wapangani hawafanyi Matendo ya MUNGU? Yaani asiye na dini anaweza kufanya Matendo mema kuliko hata wanashinda kwenye nyumba za ibada, tena hao washinda kwenye nyumba za ibada ndiyo wanaongoza kwa ubaguzi na ubinafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wengi wao ni ATHEISTS.....
Mtu anaye muamini na kumuogopa mungu mara nyingi hawana hizo tabia...
Nb:"Mara nyingi"
Mkuu, kama umewahi kupitia mambo ya dini shuleni.Hii nadharia ya hofu ya uwepo wa Mungu inamashaka.
Kati ya sasa na miaka 50 iliyopita dini imetamalaki au imepungua?
Miaka ya nyuma wapagani walikuwa weng kuliko sasa lakini ustaarabu ulitamalaki.
Jamii iko destructed na haina morality.
Kweli Mkuu.. kabla hatujaanza kuwapa funzo la kuanza kumuamini M/MUNGU.. serikali ipitishe sheria kali tofauti hii ya miaka 30-50 mpaka kifungo cha maisha ikithibitika kweli mtu ameua apewe adhabu takatifu ili ikomeshwe naona kama wanafanya mzaha vilee
Zamani watu walifanyiana Sana unyama kuliko sasaHii nadharia ya hofu ya uwepo wa Mungu inamashaka.
Kati ya sasa na miaka 50 iliyopita dini imetamalaki au imepungua?
Miaka ya nyuma wapagani walikuwa weng kuliko sasa lakini ustaarabu ulitamalaki.
Jamii iko destructed na haina morality.
Zaman ya lini!?Zamani watu walifanyiana Sana unyama kuliko sasa
Nimeona lakini sijaelewa.Mkuu, kama umewahi kupitia mambo ya dini shuleni.
Kuna kitabu kimoja kinaitwa 2Timotheo. Kiliandikwa mwaka 0064.
Miaka 1958 iliyopita. Aliandika mambo mengi, lakini andika neno: 2Timotheo 3:1-5 halafu search! Utaona.
Kabla ya ustaarabu yaani elimu na diniZaman ya lini!?
Na wap?
Hahaha!!! wapi huko!?Kabla ya ustaarabu yaani elimu na dini
Miaka ya 2000 RFA ilikuwa inakipindikinaitwaMatukio,asilimia 98 kilihusu matukio ya mauaji....Habari wakuu
Nini? Sababu la ongezeko kubwa la mauaji.. tangu kati kati ya mwaka jana mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la vifo vikiongozwa na vifo vya mauaji nini? Tatzo
Labda ni wanahabari kuyafikia matukio kwa haraka na kutusogezea habari lakini matukio yalikuwa yakitokea kama kawaida ila tulikuwa hatupati habari tu..
Au kama kweli ongezeko lipo nini? Sababu ya ongezeko hilo.. imani imepungua.. wivu umezidi, tamaa za mali.. au binaadamu tumeshachanganyikiwa maana imekuwa ovyo ovyo katika nchi yetu.. juzi huko eti? Wakefukua kaburi la mtoto na kuondoka na mwili.. tunaenda wapi? Na mambo ya ovyo hivi?
Achana na zile za kisiasa