Sababu za ongezeko kubwa la visa vya mauaji

Hii nadharia ya hofu ya uwepo wa Mungu inamashaka.
Kati ya sasa na miaka 50 iliyopita dini imetamalaki au imepungua?
Miaka ya nyuma wapagani walikuwa weng kuliko sasa lakini ustaarabu ulitamalaki.
Jamii iko destructed na haina morality.
Hivi unazani wapangani hawafanyi Matendo ya MUNGU? Yaani asiye na dini anaweza kufanya Matendo mema kuliko hata wanashinda kwenye nyumba za ibada, tena hao washinda kwenye nyumba za ibada ndiyo wanaongoza kwa ubaguzi na ubinafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hofu ya uwepo wa Mungu".
Hatuhitaji ku-move on tukiwa na hofu bt with awareness.
Morality imepungua hatuna utu basi.
 
Hao wengi wao ni ATHEISTS.....
Mtu anaye muamini na kumuogopa mungu mara nyingi hawana hizo tabia...
Nb:"Mara nyingi"

Kweli Mkuu.. kabla hatujaanza kuwapa funzo la kuanza kumuamini M/MUNGU.. serikali ipitishe sheria kali tofauti hii ya miaka 30-50 mpaka kifungo cha maisha ikithibitika kweli mtu ameua apewe adhabu takatifu ili ikomeshwe naona kama wanafanya mzaha vilee
 
Hii nadharia ya hofu ya uwepo wa Mungu inamashaka.
Kati ya sasa na miaka 50 iliyopita dini imetamalaki au imepungua?
Miaka ya nyuma wapagani walikuwa weng kuliko sasa lakini ustaarabu ulitamalaki.
Jamii iko destructed na haina morality.
Mkuu, kama umewahi kupitia mambo ya dini shuleni.
Kuna kitabu kimoja kinaitwa 2Timotheo. Kiliandikwa mwaka 0064.
Miaka 1958 iliyopita. Aliandika mambo mengi, lakini andika neno: 2Timotheo 3:1-5 halafu search! Utaona.
 

Yaani mtu akiua anyongwe hapo hapo
 
Miaka ya 2000 RFA ilikuwa inakipindikinaitwaMatukio,asilimia 98 kilihusu matukio ya mauaji....
Pia nakumbuka kulikuwana Gazeti la Uwazi, maranyingi jichwakikuu cha habari kilihusu habari za mauaji..
Pointi yangu ni kuwa..haya matukio yalikuwepo sana hata kipindi cha nyuma, utofauti ni kwasasa habari inaenea haraka sana..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…