Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Baada ya serikali ya Kenya kupanga wanausalama katika uwanja wa uhuru,palishuhudia umati mkubwa wa watu wakiingia uwanjani na uwanja kujaa kabla ya Odinga kuingia na lengo kubwa la wanausalama hao ni kudeal na muhalifu namba moja ambae ni Odinga hivyo waliamua kubadili mchezo na kumuacha kwa Odinga ajiapishe na hapo waliweka mtengo mwingine ambao kijanja kabisa odinga aliiruka kwa siku ya jana.
mtego wenyewe ulikuwa ni kusubiri msafara wa Raila kuelekea ikulu kwani kama angefanya hivyo basi wanausalama walikuwa wanaenda kumaliza game mapema kabisa kabla ya raila kuisogelea ikulu ya kenya.
mtego wa pili ambao umetegwa tayari ni kutangaza muungano huo kuwa wa kihalifu hivyo kinachofanyika sasa ni maandalizi ya kupambana na wahalifu hao na iwapo umakini hautofanyika odinga na kundi lake wataingia ktk mtego kama ule wa makundi ya mangiki ama al shabab.
mtego wa tatu unaosubiriwa kwa hamu ni kumuona odinga anatangaza serikali yake hali itakayoiruhusu serikali ya kenya kutangaza uongozi mzima wa kundi la wahalifu