Sababu za single mother

Sababu za single mother

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
.Miaka 18-20 Anasoma ata hbr za ndoa Bado akiambiwa atakuambia unataka kukatisha ndoto zake.
Lkn ana boyfriend ambae wapo kwenye mahusiano.

Miaka 21-27
Hapa Binti wa moto kweli,kila mwanaume anamuitaji.
Muowajihi
Mzinifu
Mume wa mtu
Sugar daddy
Walimu wa Chuo nk.

Hapo Binti anajichagulia SAMAKI alienona,hapo ana grade wanaume kwa KIPATO,urefu, handsome,anaejua burudani vzr,huu ni umri ambao wengi wa mabinti ukimuambia ndoa anaisi kama wewe mgojwa wa akili,wa umri huu wengi wanatafuta waume wa kukidhi maitaji Yao ,hawaangali dini,tabia Wala dini kikubwa anajitoa Sadaka kwa ili akidhi haja zake.

Miaka 28-32
Anaitaji ndoa lakini sio uke wenza.
Lakini sio wote naongelea asilimia kubwa kama 96 ndivyo walivyo.
Sasa ktk mapito yote hayo mpaka afike miaka hiyo 32 hajaolewa,hapo wanagawanyika Sasa ktk makundi matatu.

KUNDI la kwanza
Walipata ajali kzn ,wanawatoto na wasababishaji wa kupatikana hao watoto wamekimbia majukumu.
Hapo yupo tayari uke wenza ili apate malezi ya mwanae japo sio wote.

KUNDI la pili.
Washaishi na wanaume bila ndoa Tena zaidi ya mwanaume Moja,ukimuowa huyo ndio wale mume wangu ana kibamia nk.

KUNDI la tatu
Hawa yote wamepitia,MIMBA washatoa sana,baadhi wana watoto,na baadhi hawana watoto kbsa na kizazi kime kwanguliwa ata awezi kubeba ujauzito Tena.
Baadhi wanaajira na baadhi ndio hao ukiungwa nae TU anahamishia matatizo yake yote kwako.

Nasaha yangu sio kuwa dhalilisha Bali ni kuwaambia ambao Bado hawajaharibikiwa wachukue hatua stahiki,na walioharibikiwa wajifunze kutokana na makosa,shida ujumbe huu ukikugusa tutakujua kwenye comment.
Tunasubiria kuona mapovu .
 
Acha mabaya yawakute... 90% waliyataka wenyew sasa acha wafe nayo...
Kulaghaiwa na mwanamme si kosa lake. Wengi wenu mpo hapa mna watoto mmezaa nje, wanawake wanajipambania kulea wenyewe. Unaona sawa?

Huwa ninajisemea, finali uzeeni. Mifano ipo yakutosha mnajionea
 
Kwahio mwanamke kuzaa hovyo na kuwa singo maza ni kwasababu ya kulaghaiwa na wanaume..? Basi maana yake wanawake hawana akili hawajitambui...
Tetea singo maza uwezavyo ila ukweli ni kwamba, singo maza ni matokeo ya wanawake kuparamia wanaume kwa kudhani watafaidika kwa pesa au mali au ndoa...
Kubeba mimba na kuzaa ni maamuz ya mwanamke, hakuna hata siku mwanaume anaweza kuamua kuzaa... Ndio maana mimi huwa nakataa msemo wa mimba za bahati mbaya, mimba zote ni zakujitakia...
Wanawake mkiamua kusimama ktk nafasi yenu na kutumia akili hamtasumbuka kubeba mimba zisizo na baba
 
Unaonesha wazi upeo wako wa fikira upoje. Unaowasemea ni asilimia ndogo sana ambao kwa bahati mbaya ndio wanatumika kuchafua single mothers wote. Ni heri kuliko kutoa mimba. Ni wanawake wanaostahili heshima pia

Mifano ipo mingi, mtazame mama yake Diamond, watoto kwa baba tofauti na hakuolewa. Amelea watoto wake hivyo hivyo kwa kujipambania, tukaja kuona nini? Baba yake dai anajisogeza kutia huruma akumbukwe wakati hakuwepo wakati mama analima juani, anajisogeza kuvuna asipopanda. Na sasa analia peke yake. Wazee wa hivi wapo wengi wanaugulia wenyewe

Sisemi kwamba ndio mfano wa kuigwa, la. Lakini inapotokea, wanaume wabebe jukumu la kuhudumia mtoto wake. La sivyo guaranteed yatamkukuta ya kukuta awe hai au ametangulia mbele za haki
 
Nilidhani najadiliana na mtu anayejitambua... Ona sasa mambo unayoandika yamejaa utoto tu.
 
Back
Top Bottom