Sababu za Uganda kuchagua bomba kupitia Tz ilikua bei, ila mahesabu yameanza kuwa magumu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Uganda imekiri ujenzi wa bomba la Hoima-Tanga upo hatarini maana mahesabu yamesababisha wawekezaji kubadili gia na kupunguza kasi. Tanzania wameibuka na mahesabu ambayo wao wanasema yanazingatia faida kwa taifa, ila issue ni kwamba hawakuyataja pale mwanzo wakati wa ushindani.
------------------------------------------------------------

An initial plan for Tanzania and Uganda to have first oil flow in 2020 through the Uganda-Tanzania Crude Oil Pipe Line (UTCOP) is under threat as investors have been delaying to make final investment decisions, the Ugandan minister for Energy and Mineral Development, Ms Irene Muloni has revealed.
“Indeed, the plan to have the first oil by 2020 is under serious threat because it takes about three years of construction… As I am speaking right now the final investment decision has not yet been made yet,” Ms Irene Muloni said.
It was expected that the companies would have made their final investment decision last year, meaning by now they would have started constructing the pipeline, which was scheduled to be ready by 2020. Total Oil of France, China National Offshore Oil Corporation and Tullow Oil of the UK are the companies involved in the project.
The financial model seems to be one of the major reasons the companies have not yet made the final investment decision.
“One of the reasons for choosing the Hoima-Tanga route was because it was the least costly, not more than $12.2 per barrel of oil transported through the pipeline. That was the understanding and agreement. But down the road as we are trying to finalise the [negotiations] the financial model brought out different issues, which were going to go beyond what we had agreed upon and therefore that held us back,” she told reporters after a joint Tanzania-Uganda meeting on Friday.
https://www.thecitizen.co.tz/News/T...ces-delays/1840340-4887558-y8cy3nz/index.html
 
Nakumbuka nyakati walifungua nyuzi kwa pupa ila inadhihirika kuwa imekuwa not economical.
 
watu wa kuweka jiwe la msingi na kuzindua zindua wana tabu sana
 
watu wa kuweka jiwe la msingi na kuzindua zindua wana tabu sana
Tell us how can Kenya benefit if pipeline project is to not kick off? Mind u the Al Shaababs r there at large in Northern Kenya.

BTW I support GoT approach after eliminating Kenya in the equation now they discuss their piece of pie in the project!

All the construction of 1200 km within Tanzania has to involve local companies the Mengi's n Rostam's r ready to chop the opportunities having experience in mining already.

Mid January is not far! Keep dreaming while siphoning of oil from a new pipeline continues unabated. 😅👌


Just to remind u this was reported earlier last week during Mengi's luncheon with a delegation of 30 Chinese businesspersons.

He revealed also that he was working on a partnership to build a gas pipeline from Dar es Salaam to Kampala in Uganda.
IPP woos Chinese investors to Tanzania
 
Hahahaha, mbona biashara ya Uganda pipeline tulishamaliza siku nyingi sana, ninyi bado mnaendelea kulia na kuliwaza hadi Leo, malizeni msiba maisha yaendelee, msipokua makini mtashangaa SGR ya Uganda nayo tumechukua.

Hivi unajua maana ya neno "Financial model" katika miradi mikubwa kama hii?. Tanzania hatujabadilisha lolote lile, kamwe hatutobadilika. Financial model ni kati ya hayo makampuni matatu hawajakubaliana jinsi ya kuchangia gharama.

Tanzania na Rwanda wamekubaliana kukopa kwa pamoja kutoka AfDB kwa ajili ya SGR toka Isaka hadi Kigali, hiyo ndio financial model wanayotumia, wakati Uganda na Kenya kila nchi imechagua kujenga kipande chake independently, acheni kutafsiri mpendavyo ili kujipa matumaini, maiti kamwe hafufuki.
 
Unajua wakati mwingine inabidi kuwajibu wanavyotaka maana baadhi ya vitu ni too technical kuwaelewesha. Isitoshe Sumimoto na Standard Banks r main financiers. Mimi niliamua kujibu kupitia shallow understanding Yao ili niwaumize zaidi ndo maana nimem-quote Mengi na wachina.
 
Ninajua uwezo wao wa akili ni mdogo sana, hadi kwa viongozi wao wa kitaifa, mwenye nafuu kidogo ni Matiang'i pekee.
 
Bagamoyo tuliimbiwa usiku na mchana, SGR, Vinyerezi, gorge steiglers, dreamliners n.k ila hadi sasa hamna limetimia bado kuzindua na yule mzee wa makasi...Jiwe.
 
Kwa Hali ilivyo, kufanya biashara na Tanzania kunahitaji uwe roho ngumu.
 
Wakati mwingine bora upate kidogo kuliko kukosa kabisa.Jamaa anaharibu kila kitu kwa kujiona yeye ni mjanja wa kila kona matokeo yake anatia njaa taifa lake.
 

Teh teh teh tihiii
that is too technical for them to decipher. financial models is a technical aspect and it's also a centre of decision making.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…